Dr.Mohamed Shein: Sitambui kamati ya maridhiano visiwani zanzibar

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
329
Zanzibar president Dr Ali Mohmmed Shein has said he doesn’t recognize the self-styled reconciliation committee that is working on ensuring Zanzibar becomes a fully autonomous state.

Dr Shein’s statement has come hardly a week since Zanzibar first vice President Maalim Seif Sharif Hamad declared that he would work hard alongside other former and current CCM and CUF leaders to ensure the Isles gains full autonomy.

The Zanzibar president made these utterances on Thursday evening at the Abeid Amani Karume International Airport soon after he jetted back from a tour in China.

However, Dr Shein hinted that he had since met the committee three times since he entered the highest political office in the isles, the first being in 2010 – this time for the sole purpose of congratulating him for winning the presidential elections.

He said the same committee paid him another (second) visit after the fatal marine accident that involved Mv Spice Islander for the objective of offering him condolences. He did not explain when and where he met the committee for the third time.

At no time during his tenure in office so far did he give his “blessings” to the activities of the so-called reconciliation team – at all – and that he wasn’t “aware” about people who formed it.

The committee that claims to be working round the clock to ensure Zanzibar gains its full autonomy is closely associated with some former Zanzibar political bigwigs, including Dr Salmin Amour Juma and Dr Amani Abeid Karume.

"Go and ask them about who exactly formed that self-proclaimed reconciliation committee. If they don’t tell you about it … I’ll do it (myself0 during the next press conference. For sure … andlLuckily enough … they know what I told them when they visited me,” Dr Shein revealed.

The self-styled reconciliation team also wants Zanzibar to be recognized as a sovereign state by the UN, including giving it “its chair” at the world body.

Individuals forming the committee that now trumpets for a “contractual union” between Zanzibar and the Mainland include the first isles minister for Justice and Constitutional Affairs Hassan Nassor Moyo (CCM), who acts as its chairman, and the current Zanzibar Minister for Justice and Constitutional Affairs, Abubakar Khamis Bakari (CUF), who works as the committee’s vice chairman; while CUF Member of the House of Representatives Ismail Jussa Ladhu serves as its secretary.

Other members are former Zanzibar minister Mansour Yusuph Himidi (CCM) and CUF Director of Publicity and Public Relations Salim Bimani (CUF).

"When the committee members came to introduce themselves to me they claimed they belonged to a task force that forged the Zanzibar government of the National unity. Now, all other activities performed by this committee are new to me … I am neither involved nor am I in the know,” Dr Shein insisted.

Just two days before the Warioba Constitutional Review Commission (CRC) unveiled its well acclaimed Katiba draft the committee organised a public rally in Zanzibar, at which it announced ten matters that should be removed from the list of Union matters in the Union Constitution.

Zanzibar First Vice President Maalim Seif Sharif Hamad who addressed the public rally cited the clauses to be “deleted” to include, inter alia, the nation’s official name -- United Republic of Tanzania – along with boundaries, Citizenship, Immigration, Foreign Affairs, Currency, Police, Oil and Gas, the National Examination Council of Tanzania (NECTA) as well as political parties.

Salim Bimani, the CUF director of publicity and public relations, meanwhile announced that the committee was formed by former Zanzibar president Dr Amani Abeid Karume after he met CUF secretary general Maalim Seif Sharif Hamad during private talks that brought about political reconciliation in the Isles.

“The committee coordinated several matters … including facilitating a referendum that led to the formation of the (Isles) government of national unity … that is why we paid Dr Shein a visit to congratulate him after winning the 2010 general elections,” Salim Bimani said.

He said the committee members noted that there was need for the task force to continue defending Zanzibar affairs in the Union government.

The Warioba constitutional review commission (CRC) has now come up with a draft constitution proposing a three-tier government structure -- the Mainland government, the Zanzibar government and the Union government.

It remains unclear what hurdles lie ahead, considering the fact CCM policy has always stood for a two-tier government structure.

Already, CCM Secretary General Abdurahman Kinana has said CCM does not agree ‘100 per cent’ with the contents of the CRC draft, adding that the party’s Central Committee (CC) is slated to meet next week under its Chairman President Jakaya Kikwete to discuss it.
SOURCE: THE GUARDIAN
 
Hii inaonyesha ni jinsi gani Rais wa Zanzibar anafanyiwa maamuzi na watu wengine. Hii kamati ya maridhiano zanzibar inaongozwa na mwenyekiti ambaye ni kada wa ccm na mwanasiasa mkongwe nchini tanzania mheshimiwa mzee hassan Nassor Moyo. Lakini baada ya rasimu ya katiba mpya wamemugeuka.angalia HAPA. Mia
 
Mimi ntaendelea kumheshimu mzee Hassan Nassor Moyo Kwa misimamo yake ya kuitetea zanzibar. Huyu ndo aliye itisha mkutano hivi majuzi kuongelea mstakabari wa zanzibar ndani ya Muungano.Ukitaka kujua Huyu mzee anaongea nini kuhusu zanzibar msikililize HAPA. Mia
 
Sheni akimaliza muda wake tutampeleka chokocho kama dr.Omar ali juma Wawi hivi vibur sijui wanavitolea wapi
 
Haya ndo ngoma inaanza sasa alisema Nyerere, mkitoka kwenye Muungano mtaanza kuwatafuta wapemba na waunguja. Mie nawaoneeni huruma, walituambia kisiwa chenu kinaliwa na bahari kidogo kidogo kila mwaka sasa kikiisha mtakimbilia wapi?
Jamani sisi ni wamoja, hata kabla hakijapita kizazi cha Nyerere mmeshaanza mambo na choko choko, Wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe haya tayari tume ya Warioba ndo ishawapa wembe chagueni pa kujikata.

Tafakarini sana !!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sheni anajua anachokifanya na hawezi kuyumbishwa na wanasiasa daima.
 
Mimi ntaendelea kumheshimu mzee Hassan Nassor Moyo Kwa misimamo yake ya kuitetea zanzibar. Huyu ndo aliye itisha mkutano hivi majuzi kuongelea mstakabari wa zanzibar ndani ya Muungano.Ukitaka kujua Huyu mzee anaongea nini kuhusu zanzibar msikililize HAPA. Mia

mtukumbukage basi na sisi wenye mchina mnapoleta thread tam kama hizi
 
shein ni mvumilivu sana na huwa hasemi hovyo wala hakurupuki na yupo serious hataki bla bla.mpaka afikie hapo labda hiyo kamati imekwishamvuruga sana kwenye utendaji wake
 
shein anaitambua hii kamati. ametishwa na kuelekezwa na bara aseme kuwa haitambui. anatangaza hivyo lkn kwa nyuma anaiunga mkono. chezea shein ww
 
Ngojeni ZIFF ipite ndio muvunje muungano......maana naona wazenji wamechoka kweli na huu muunganiko.
 
Kama kweli haitambui kwanini asiwafukuze wale ccm waliokuwemo mule kwenye ile kamati ya maridhiano?
 
CCM wasituchanganye sasa mbona anafanya kazi na Seif kama makamu wa kwanza wa Rais au ndio uliberali wenyewe wa CUF huo, ndoa zingine za kulazimisha bhana.
 
shein ni mvumilivu sana na huwa hasemi hovyo wala hakurupuki na yupo serious hataki bla bla.mpaka afikie hapo labda hiyo kamati imekwishamvuruga sana kwenye utendaji wake

Umechemka ndugu shein ata anachokiongea hakijuwi yaani katika miaka ambayo Wazazinari wamepata kiongozi zuzu haijawahi kutokea katika historia ya Zanzibar kama uongozi wa huyu gamba dr shwein.,juzi et anasema yeye bendera ya muungano inamtosha kupepea akiwepo nje kuliko ile ya Zanzibar akiwa kama rais mahali popote duniani., ujuha zaidi yaani watu wameamka kudai mamlaka ya Zanzibar yeye bado anasema muungano udumu ule ule wa 64 mana ata kama hakusoma lakin hupata nafasi ya kutembea duniani akaona namna nchi za watu zinavyoendelea kukuza demokrasia imekuwa bora dr salmin ambaye macho yk haoni kuliko yeye aonae.., la kushangaza zaidi hata hiyo Tanganyika anayoipigia kifua Kikwete amenyamaza kimya yeye anaropoka tu..,
 
jamaa haeleweki, kama haitambui kwa nini wasiwawajibishe au kuwapa onyo, na kamati hii imekua na harakati zake kwa muda wa mwaka mmoja sasa, huku ikiwa inashirikiana na uamsho.
shein hueleweki,
 
jamaa haeleweki, kama haitambui kwa nini wasiwawajibishe au kuwapa onyo, na kamati hii imekua na harakati zake kwa muda wa mwaka mmoja sasa, huku ikiwa inashirikiana na uamsho.
shein hueleweki,

ngoma inogile .hii ndoa itavunjika tu.
 
Back
Top Bottom