Dr.Mohamed Shein: Sitambui kamati ya maridhiano visiwani zanzibar

Hawa watu wanastaajabisha haijulikani wanataka nini. Hivi kweli bara wangeweza kuikwamisha znz kwenye mambo yake ya maendeleo kwa kusudi. Katika uchambuzi wazenj badala ya kutupa lawama hebu watafiti kama sio udhaifu wa watendaji wa serikali yao kushindwa ku deal na nchi za nje kuhusu mambo ya uchumi halafu wanalaamu serikali ya muungano.
 
Dokta ni kibaraka wa magamba aliechaguliwa dodoma kuja kuivuruga z'br,jema lolote la zanzibar lazima alipinge,yupo kichama zaidi kuliko nchi.
 
Dokta ni kibaraka wa magamba aliechaguliwa dodoma kuja kuivuruga z'br,jema lolote la zanzibar lazima alipinge,yupo kichama zaidi kuliko nchi.
na wewe unaamin kwamba zanziba ni koloni la tanganyika?. mia
 
Hali visiwani Zanzibar si shwari baada ya DK.Shein kusema hatambui kamati ya maridhiano iliyoasisi muundo mpya wa Umoja wa Kitaifa katika serikali yake .chanzo sms TOKA CG FM
 
Tangu jana nimepata hiyo msg ila sikuifungua kwa kuogopa virus kumbe ndo ina ujumbe huo..mie niliidelete bila kuifungua.
 
Back
Top Bottom