Dr Milton Makongoro Mahanga kuwashukuru wana CCM kata ya Kiwalani

MJINI CHAI

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
2,198
1,226
Heshima kwenu wakuu,
leo katika Kata ya Kiwalani kua sherehe ya kuwashukuru wana CCM kata ya Kiwalani kwa kufanikisha na kushinda kwa Uchaguzi Mkuu uliopita ambao ulimfanya Makongoro kuwa Mbunge wa Jimbo jipya la Segerea, hapa naona anechinjwa Ng'ombe na kuna shughuli za kupikapika pia kuna Bia, soda nitawajuza zaidi kinachoendelea hapa pamoja na picha hapo baadae
 
Watoto ndio wengi hapa sijui ni kwa nini na muziki wa hamasa unaendelea kupigwa na kuna tangazo hapa wanasema wakati wowote ?r makongoro atawasili kwenye kiwanja hiki cha kata ya kiwalani pia tangazo linasema hafla hii ni kwa wote hivyo anayejisikia aje musijibague
 
Amechakachua kura zetu za Segerea huyooo. Achana naye.
 
Heshima kwenu wakuu,
leo katika Kata ya Kiwalani kua sherehe ya kuwashukuru wana CCM kata ya Kiwalani kwa kufanikisha na kushinda kwa Uchaguzi Mkuu uliopita ambao ulimfanya Makongoro kuwa Mbunge wa Jimbo jipya la Segerea, hapa naona anechinjwa Ng'ombe na kuna shughuli za kupikapika pia kuna Bia, soda nitawajuza zaidi kinachoendelea hapa pamoja na picha hapo baadae

Halafu baada ya kuripoti imesaidia nini?.....
 
Mkuu hii post inasaidia kuwakumbusha watu ya kuwa tuwachague watu wanaoangalia matatizo ya watu kwani ametumia garama kubwa ya kufanikisha hafla hii wakati kuna wajane, yatima, watoto wanaotaka kwenda shule wameshindwa kwenda kwa kukosa ada ya shilingi elfu ishirini tu sasa hii si vizuri hata kidogo naona simazi kweli hapa yaani kwa matatizo ya kata ya kiwalani yalivyo megi kutatuliwa kwa kula pilau ni aibu sana
 
Back
Top Bottom