Dr. Mathayo's Degrees Are Authentic - TCU

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,526
19,381
By ROSE ATHUMANI,
22nd February 2010,
Daily News

THE Tanzania Commission for Universities (TCU) said today that the doctoral degree and other academic credentials held by the Deputy Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives, Dr David Mathayo David, are authentic.

In a letter, signed by the TCU Executive Secretary, Professor Mayunga Nkunya, the commission cleared Dr Mathayo after he submitted his academic credentials for verification.

Dr Mathayo submitted to TCU, his Bachelor of Veterinary Medicine from Sokoine University of Agriculture (1997), Master of Agriculture Science from University of Pretoria in South Africa and Doctor of Philosophy (PhD) in Animal Science from the University of Free State in South Africa (2003).

Dr Mathayo told 'Daily News' that he was happy having his name cleared following reports that he had forged the degrees.

"I am really happy after being cleared of the allegations that my degrees were obtained from unaccredited institutions. This has given me peace of mind," he said.

In the letter dated February 13, 2010, which 'Daily News' has a copy, the TCU states that it recognizes the validity of the degrees awarded to the deputy minister.

"TCU by virtues of its legal mandate given under the University Act of 2005 hereby recognizes the validity of your degree awards stated above and that all the awards have been granted by accredited and hence recognized university institutions," the letter reads in part.

The letter which was sent to the deputy minister was also copied to the Speaker of the National Assembly, the Prime Minister, the Minister for Education and Vocational Training, the Chief Secretary and the Permanent Secretary in the Ministry of Education and Vocational Training.

Efforts to contact the TCU executive secretary, Prof Nkunya, were futile.

When the TCU Public Relations Officer, Edward Mkaku, was contacted to confirm if the commission received Dr Mathayo's certificates for authentication, he declined to comment and directed this paper to wait for Prof Nkunya's return for more details on the issue.

Early this month, the Speaker of the National Assembly, Mr Samuel Sitta, announced to the House that Dr Mathayo had presented to his office genuine credentials for his degrees.

Deputy Minister Mathayo was among a number of ministers and Members of Parliament alleged to possess fake degrees. They include the Minister for Industry, Trade and Marketing, Dr Mary Nagu, the Minister for East African Community, Dr Diodorus Kamala, the Deputy Minister for Labour, Employment and Youth Development, Dr Makongoro Mahanga and Deputy Minister for Defence and National Service Dr Emmanuel Nchimbi.

Others are the Dar es Salaam Regional Commissioner and MP for Ismani, Mr William Lukuvi, Lupa MP, Mr Victor Mwambalaswa and Busega MP Dr Raphael Chegeni.


'Fake' PhD MPs dodge TCU

MASEMBE TAMBWE, 16th February 2010 @ 01:27, Total Comments: 9, Hits: 1103

THE Tanzania Commission for Universities has yet to receive degree document for certification from any of the alleged senior cabinet members and Members of Parliament with questionable academic qualifications.

"We have not yet received any certificates for certification from any minister or member of parliament but our doors are always open," the TCU Senior Public Relations Officer, Mr Edward Mkaku, told the 'Daily News' in Dar es Salaam today.

Mr Mkaku said that the issue surrounding fake academic qualifications has been a debate for years and that it was recently fuelled by the launching of a book authored by Erick Keinerugaba who published the identities of those alleged to possess fake documents.

During a press conference held last week, the TCU Executive Secretary, Professor Mayunga Nkunya, condemned the book saying that it was an infringement to personal affairs and that TCU doesn't support the move and will never do so.

Mr Mkaku said that after the book had aroused a lot of talk, Prof Nkunya deemed it necessary to hold a press conference and issue TCU's stand on the matter and also ask those allegedly mentioned in the book to take their certificates for certification and give them the chance to respond.

"The author of the book has no right to reveal whether or not a person possesses a genuine or fake doctorate degrees, which is personal and should be left at that," Mr Mkaku stressed.

He explained that the TCU procedure of certification entails that one fills a form when bringing certificates to be certified and only the person who brought the document will be given back and that the outcome is not publicised.

In another development, TCU has voiced its concern for the Speaker of the Parliament, Mr Samuel Sitta, to have cleared the Deputy Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives, Dr Mathayo David Mathayo, of a fake doctoral degree.

Mr Mkaku explained that though Mr Sitta can, with the authority vested on him, speak about the matter, he did not, however, have the mandate to certify whether the degree was genuine or a fake and that should be left to TCU alone.

"Only TCU has been given the mandate to verify whether a degree is genuine or fake," he said.

Last year it was reported that eight senior cabinet members and Members of Parliament were among recipients of questionable academic qualifications, particularly Doctorate Degrees (PhDs), from overseas Learning Institutions that are not internationally recognised.

The report mentioned the institutions which issued the doubtful qualifications which include Washington International University based in Hawaii, Commonwealth Open University based in Caicos Virgin Island, Free States University, Ambala University in India and Almeda University, USA.
 
Sasa huyoo msemakweli vipii maana akipelekwa mahakamani sijui atalipa nini!!bado wengine jisafisheni na tuhuma hizo!!
 
TUME ya Vyuo Vikuu (TCU) imemsafisha Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Dk David Mathayo kwa kuvitambua vyeti vyake vya shahada ya kwanza ya mifugo, shahada ya uzamili ya kilimo na sayansi pamoja na udaktari wa falsafa.

Dk Mathayo amesema, uamuzi huo ni ahueni kwa kwa kuwa jila lake lilichafuliwa sasa limesafishwa.

Kiongozi huyo wa Serikali amesema, uvumi kwamba anatumia vyeti feki ulikuwa ni uzushi wa kumuonea.

Kwa mujibu wa barua ya tume hiyo iliyosainiwa na Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Mayunga Nkunya, na kutumwa kwa Dk Mathayo, vyeti hivyo vimethibitishwa na kutambuliwa rasmi na tume hiyo kuwa ni sahihi. Dk Mathayo aliwasilisha vyeti hivyo TCU Februari 12 mwaka huu,

"Kwa kutumia mamlaka tuliyopewa kupitia vifungu vya Sheria ya Tume ya Vyuo Vikuu, tunathibitisha kutambua vyeti vyako vya elimu, kuanzia shahada, Shahada ya uzamili na udaktari wa falsafa kuwa vimetolewa na vyuo pamoja na taasisi za elimu zinazotambuliwa," amesema Profesa Nkunya katika barua hiyo.

Tuna nakala ya barua hiyo ya kumsafisha Dk Mathayo huyo, nakala imepelekwa kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Samuel Sitta, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Jumanne Maghembe.

"Mimi kwa sasa sina la kusema zaidi ya kumshukuru Mungu na nimefurahi kwa kweli, masuala mengine nitayazungumza siku nyingine ila leo nimepata ahueni," amesema Dk Mathayo.

Profesa Nkunya hakupatikana ili athibitishe taarifa kuhusu barua hiyo,wasaidizi wake wa karibu wamedai kuwa amesafiri. Ofisa Uhusiano wa TCU, Edward Mkaku, hakutaka kuzungumzia suala hilo.

Katika mkutano wa 18 wa Bunge uliomalizika hivi karibuni mjini Dodoma, Spika Sitta alitangaza bungeni kuwa vyeti vya Dk Mathayo vimethibitishwa kuwa ni sahihi na vinatambulika.

Dk Mathayo pamoja na mawaziri wengine sita walituhumiwa kughushi sifa za taaluma na kuzitumia kujipatia nyadhifa mbalimbali za kisiasa.

Taarifa za uhakikiwa vyeti vya mawaziri kadhaa wanaotuhumiwa kuwa na vyeti vya kughushi hazijatolewa.

Mawaziri hao ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk Mary Nagu, Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk John Nchimbi, na Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Dk Makongoro Mahanga.

Wengine ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Dk. Diodurus Kamala,Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni Mbunge wa Issmani, William Lukuvi,Mbunge wa Lupa (CCM), Victor Mwambalaswa,na Mbunge wa Busega (CCM)Dk. Raphael Chegeni.

Source: Habarileo

My Take.

Mawaziri na wansiasa waliotuhumiwa wachukue hatua ya kupeleka vyeti vyao TCU ili kuondoa utata uliogubika elimu zao.
 
Sio ajabu maana kuna kila dalili za mambo yale yale ya kusafishana katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu, Mara Igunga, mara Richmond na haya tutaona mengi katika kipindi hiki, Walikuwa wapi siku zote mpaka kipindi hiki??
 
lakini kwenye ile orodha iliomo ndani ya chapisho la Msemakweli huyu yumo ? mi sikumbuki kumuona.

hayumo lakini walikuwa wanampiga madongo long time alipoteuliwa tu kuwa naibu waziri ..anyway tukistaaajabu ya musa tutaona ya firauni
 
hayumo lakini walikuwa wanampiga madongo long time alipoteuliwa tu kuwa naibu waziri ..anyway tukistaaajabu ya musa tutaona ya firauni
Thats true Kigogo, na ndio maana Msemakweli akasita kumuingiza kwenye Chapisho lake....haya hima Mahanga, peleka vyako, mary Nagu na bila kumsahau Lukuvu aka Bwana UPE na Mzee wa Madegree , kutoka Mwanza.
 
Yaani washabiki wa Msemakweli wanavunga kama hawajaiona hii thread! LOL!
 
Katika Gazeti la Mtanzania toleo la leo tar 24 February kuna habari katika ukurasa wa 5 kwamba tume ya Vyuo Vikuu Tanzania imetambua elimu ya Naibu Waziri wa Kilimo na Chakula Dr. Matayo David kwa barua ya tar 13 February 2010 iliyomwandikia ikitambua elimu yake kuanzia shahada ya kwanza hadi ya uzamivu (PhD) katika habari hiyo wameambatanisha nakala ya barua hiyo.

My Take:
Tumesikia sakata la waheshimiwa wanaotuhumiwa kwa ufisadi wa elimu, mbona hatuwasikii hao watuhumiwa wakichukua hatua kama ya Dr. Matayo ya kutaka kusafishwa na TCU ili kulinda majina na hadhi zao?..,kimya hiki kinamaanisha yote yaliyoandikwa na Bw. Kineirugaba Msemakweli ni ya ukweli maana mbona hatuwasikii hata wakishtaki kwa kudhalilishwa...?
 
Watuhumiwa wa ukweli ni hao waliobaki, Mathayo hakuwa mmoja wao. Nafikiri kuna waliomtaja kwa kuonea gere kuwa anaitwa dokta. Lakini inapaswa kukumbuka kuwa kabla hata hajapata PhD, Mathayo alikuwa dokta tayari, dokta wa mifugo aliyefuzu SUA.
 
Huyo Mathayo (Mtoto wa MSUYA), kaandaliwa mengi sana hapa Tanzania nadhani ndio anaelekea kwenye u PM kama sio kumwandaa kuwa raisi,

Na jamaa yupo smart sana, kwa sisi tunaomjua huyo bwana anaitwa MATHAYO DAVID MSUYA, lakini kwa sababu za kisiasa ameamua kulitoa hilo jina lake la MSUYA na kubaki na MATHAYO DAVID MATHAYO, na huyo jamaa ni UWT wa muda mrefu nadhani hata hao TCU wanaweza kuwa wametoa hayo maelezo yao kwa influence ya UWT au mkuu wa mjengo mweupe.

NINA SHAKA NA HIYO PhD YAKE masters inawezekana kwani kuna kipindi alikuwa bize sana na mambo ya Botswana-Tanzania-South
 
dawa ni kumuibia na kuviwasilisha TCU! LOL!
Please Waberoya, waacha kunichekesha, ingawa nimecheka lakini hiyo yaweza kuwa dawa , kweli nitashiriki kutengeneza mtandao pale Ofisini kwake Ilala , ili kupata nakala ya vyeti vya huyu mr Upe.
 
Huyo Mathayo (Mtoto wa MSUYA), kaandaliwa mengi sana hapa Tanzania nadhani ndio anaelekea kwenye u PM kama sio kumwandaa kuwa raisi,

Na jamaa yupo smart sana, kwa sisi tunaomjua huyo bwana anaitwa MATHAYO DAVID MSUYA, lakini kwa sababu za kisiasa ameamua kulitoa hilo jina lake la MSUYA na kubaki na MATHAYO DAVID MATHAYO, na huyo jamaa ni UWT wa muda mrefu nadhani hata hao TCU wanaweza kuwa wametoa hayo maelezo yao kwa influence ya UWT au mkuu wa mjengo mweupe.

NINA SHAKA NA HIYO PhD YAKE masters inawezekana kwani kuna kipindi alikuwa bize sana na mambo ya Botswana-Tanzania-South
Inawezekana ni mtoto wa David Msuya huyu Waziri mkuu mstaafu, na mmbunge wa Mwanga?
 
Kweli kuthibitisha digrii kunachukua miaka takriban mitano? Haya maneno yalianza mara baada ya uchaguzi uliopita sasa kwa nini jibu litoke leo wakati tunaelekea uchaguzi mwingine?

Amandla......
 
Back
Top Bottom