akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,004
- 1,471
With due respect kwa mtoa hoja. I am of the view this is Misconception of the term Member of Parliament. Haieleweki Mbunge kubebeshwa lawama kwa maendeleo duni ya wilaya.mbunge siyo kiongozi na hajawahi kuwa KIONGOZI Lawama hizo zingeelekezwa kwanza kwa District Executive Director au District Commissioner.hawa ndiyo viongozi na siyo mbunge yeye ni msemaji wao bungeni . Ndiyo ana role yake ila hapo ni sawa na kumlaumu Nyanda golikipa kwa kutofunga magoli wakati mastriker maforward wapo. Nadhani watanzania tunahitaji katiba itakayotupa mamlaka ya kuchagua viongozi wetu kama magavana au maDC na siyo huu upotoshwaji wa sasa wa kuwageuza wawakilishi na watunga sheria kuwa viongozi na watawala wkt siyo na hawana mamlaka hayo.