Dr.Mashinji: Namkubali Jaji Werema

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Akiwa anahojiwa kwenye segment ya "Kikaangoni ya EATV,Dr Mashinji katibu wa Chadema,amesema kwa upande wa CCM anamkubali sana jaji werema.

Pia amesema Chadema inawanachama wanaokaribia milioni 4 (maana yake hawajafika bado),kwa taarifa hii inamaanisha 10% ya Watanzania ni wanachama wa Chadema.

Je,CUF nayo inawanachama wangapi? ukijumlisha NCCR MAGEUZI na NLD? Je,huu ni mtaji mzuri kweli kwa upinzani kuitoa CCM yenye wanchama hai zaidi ya milioni 8? .

Wito wangu Dr Mashinji jitahidi uongeze wanachama,fanya operation za maana km za Dr Slaa,unaweza angalau vuta wanachama japo inaweza ikawa kiduchu.
 
Unaamini Ccm wanapokuambia wana wanachama hai mil 8? Ccm hihii ya Magufuli na Ole sendeka?
Au unamaanisha kadi zilizowahi kutolewa kwa maana hata kadi za Lowassa, Sumaye, na wengine wote kabla ya uchaguzi wapo kwenye idadi hiyo?
 
Mmmh! Mkuu hata kama iweje kuwa na wanachama milioni tatu na ushee afu ushinde uchaguzi? Mashinji ajipange
 
Anaamini kwa kuambiwa kwamba ccm ina hao wanachama 8 mil. kama vile wewe unavyoamini pia kwa cdm inao mil.4. Juu ya kwamba pengine lowasa na sumaye bado wanahesabika katika mil.8 ya ccm ni sawa na ambavyo cdm wanaweza kuwa wanawajumisha akina zitto, mkumbo, dk.slaa nk katika hiyo idadi ya cdm ya mil. 4
 
Kuna wanachama na mashabiki kwani ushindi unaamriwa na mtu mmoja tu Lubuva na yeye apewe tuzo kama JECHA msimusahawa Kamanda kova naye alikuwapo kwenye kamati ya ushindi
 
Mzee wa migomo asiye na sera na aliyezawadiwa ukatibu mkuu ili kusaidia upatikanaji wa kura kanda ya ziwa. Hopeless!
07f28b6ea6bfa05479667f0613b46976.jpg
 
Akiwa anahojiwa kwenye segment ya "Kikaangoni ya EATV,Dr Mashinji katibu wa Chadema,amesema kwa upande wa CCM anamkubali sana jaji werema.

Pia amesema Chadema inawanachama wanaokaribia milioni 4 (maana yake hawajafika bado),kwa taarifa hii inamaanisha 10% ya Watanzania ni wanachama wa Chadema.

Je,CUF nayo inawanachama wangapi? ukijumlisha NCCR MAGEUZI na NLD? Je,huu ni mtaji mzuri kweli kwa upinzani kuitoa CCM yenye wanchama hai zaidi ya milioni 8? .

Wito wangu Dr Mashinji jitahidi uongeze wanachama,fanya operation za maana km za Dr Slaa,unaweza angalau vuta wanachama japo inaweza ikawa kiduchu.
Wanachama milioni 8 hahahahahahaa afu wanaopiga kura ni milioni sita, kuna milion 2 wamechukua kadi na hawajakupigia huoni hilo ni tatizo kubwa sana?
 
Akiwa anahojiwa kwenye segment ya "Kikaangoni ya EATV,Dr Mashinji katibu wa Chadema,amesema kwa upande wa CCM anamkubali sana jaji werema.

Pia amesema Chadema inawanachama wanaokaribia milioni 4 (maana yake hawajafika bado),kwa taarifa hii inamaanisha 10% ya Watanzania ni wanachama wa Chadema.

Je,CUF nayo inawanachama wangapi? ukijumlisha NCCR MAGEUZI na NLD? Je,huu ni mtaji mzuri kweli kwa upinzani kuitoa CCM yenye wanchama hai zaidi ya milioni 8? .

Wito wangu Dr Mashinji jitahidi uongeze wanachama,fanya operation za maana km za Dr Slaa,unaweza angalau vuta wanachama japo inaweza ikawa kiduchu.
Mashinji hajafika hata robo ya slaa
 
Huyu ajiandae ataitwa MSALITI tu.
 
Anaamini kwa kuambiwa kwamba ccm ina hao wanachama 8 mil. kama vile wewe unavyoamini pia kwa cdm inao mil.4. Juu ya kwamba pengine lowasa na sumaye bado wanahesabika katika mil.8 ya ccm ni sawa na ambavyo cdm wanaweza kuwa wanawajumisha akina zitto, mkumbo, dk.slaa nk katika hiyo idadi ya cdm ya mil. 4
Nimeuliza anaamini kwa yeye kuangalia hali halisi ilivyo. Kwani kama Mrema akisema ana wanachama milioni 2 utamwamini kwa vile kasema hivyo mwenyekiti wa TLP?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom