Dr. Mashinji mpaka sasa ndio Katibu Mkuu bora wa chama cha siasa nchini

Ndio nani huyo au wa Chama kipya? Hasikiki na hafahamiki na sijui kama anafahamu majukumu yake!!
Ahahaha we una tofauti na yule dogo calisah wa wema eti anajifanya amjui idris sultan wakati anajulikana karib africa nzima na ye umaarufu wake umeongezeka kisa wema na we ndo umetoa kioja iko ivi kwel we uijui m4c au chadema kwel wakat uliny'ata meno juzi tu kwenye kupora urais au ndo na we we mwanachama wa ccm toka dodoma pale milembe
 
mkianza kusajili wanachama electronically...tutakamata mashine zenu kama wale vijana wa IT...natania tu
Ahahahaha nimecheka peke angu nikaona nikushirikishe tucheke wote bora umetania mana awakawii kucopy na kupaste utani wako huu kesho utasikia msajili ametoa tamko vyama akuna chama kua na kadi za electronic maana zitafanya hasara kwa wale wa kuhama hama daily
 
Haya maswali juu ya Kinana mbona hayajapatiwa majibu na Lumumba FC ?Au yamekuwa magumu mno ili labda muuliza maswali ayaulize kivingine , maana kama hilo la vikao sio kuvunjwa kwa katiba ya CCM ? au ndio mwendo wa kuvunja katiba zote katika awamu hii.....
Kinana ata ATM card awezi tumia ndo atoe ushauri wa card ccm ni ngumu sana wangoje pale bwana yule atakapo ziongelea izo card ndo wataelewa kua wao wanachama wao kama foleni ya magar ubungo inaongezeka na kupungua kwa kasi kad kwao ngumu
 
Hahaha ...eti hawezi kutumia ATM card ? Maneno mengine yanasaidia sana wakati huu wa # KUNYWA MAJI MWANANGU....
 
Hapo namba4 ushaambiwa na mzee wa buguluni kuwa ,ukuta ulikua ni wa biskuti.
 
Ahahaha we una tofauti na yule dogo calisah wa wema eti anajifanya amjui idris sultan wakati anajulikana karib africa nzima na ye umaarufu wake umeongezeka kisa wema na we ndo umetoa kioja iko ivi kwel we uijui m4c au chadema kwel wakat uliny'ata meno juzi tu kwenye kupora urais au ndo na we we mwanachama wa ccm toka dodoma pale milembe
Wewe ni fala ,lofa, mjinga na mpumbavu! Mashinji labda anajulikana na Viongozi wa CDM makao Makuu na mkewe tu! Hana mvuto na wala hakuna impact ya kuwepo kwake kwenye nafasi yake period!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom