- Thread starter
- #21
Weka facts za utofauti , shawishi kuwa ni bomu kwa hoja na sio kwa viroja ......kuna ukweli na kuna Propaganda sasa hapa umewekwa ukweli wenye mashiko ..........Mtakaa tu mwaka huu mlizoea kujua mipango kabla ya utekelezaji kwa sababu ya Dr.Slaa kuongea sana na media sasa huyu ni silent operator na mjue tu kuwa huyu ni Daktari anatafuta kiini cha ugonjwa ndio anashughulika nacho na sio dalili.....Naona watu wazito wa Ufipa mnaanza kutetea bomu lenu.