Dr. Manyaunyau, Anaefanya matibabu kwa kutumia Paka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Manyaunyau, Anaefanya matibabu kwa kutumia Paka

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Oct 11, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Audhubillahi minaa shaitwan rajiim, Mleta mada awe na adabu na cheo Dr. Kama hajui au naye ni matapeli wanaojiita madaktari wakati ni matapeli aseme. Hata hao akina michuzi wanaompromoti ni vihiyo kama yeye. To hell with all of this shirk in the first place.
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Michuzi amethibitisha ushenzi na ushirikina hakuna mfano. Ujinga na ujuha kweli ni mzigo. Hata mahojiano licha ya kupanga yanaonyesha ushamba na ujuha wa hali ya juu. Michuzi nawe si uanze kula hiyo mipaka. Kweli watu wengine ni majini na mashetani. Mkiambiwa mnasema mmeshambuliwa. Huu ni utapeli wa kawaida unaoendeshwa na genge la wapumbavu. Leo utasikia dr manyaunyau tamba kifombo cheza na upuuzi mwingine wakati ni matapeli wa kawaida. Huu nao ni uchangudoa wa kiakili. Mnatangaza ushirikina hata kwenye vyombo vya habari. Mkuu MiziziMkavu umevutiwa nini na upuuzi huu?
   
 9. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #9
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nchi ya washirikina kama hii haiwezi kuendelea na lazima iongozwe na washirikina.
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Oct 11, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mzizi mkavu wengine hawa huku wanafukua makaburi tena ni watu wanaojiita kanisa kuu.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dr Manyaunyau alikua msanii wa kaole kabla hajaingia kwenye utapeli wa kinaigeria.
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kazi ya sheitwan
   
 13. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #13
  Oct 11, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Very true.
   
 14. Jidu

  Jidu JF-Expert Member

  #14
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,167
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Father of all!Umesahau kuwa DR ni Lugha ya kigeni kwa kiswahili Ilitakiwa aitwe Mganga!ni jina Maalum kwa watoa tiba kwa lugha ya Kiswahili,na pia Hata serikalini Hulitumia pia Utasikia Mganga mkuu wa serikali,ama Hospitali n.k.Hivyo kama jina la Dr lina maana hiyo hiyo ya Mganga kuna ubaya gani kuwaita hawa wa Tiba asili ama kienyeji kwa jina la Dr? wakati wao wanatumia jina la Mganga!Tuache fikra dhaifu juu ya lugha zetu na kutukuza za wengine!Wote uwaonao huko maofisini ni Waganga tu kwa lugha yetu ya kiswahili hatuwavunjii heshima!tena inapendeza kumuuita Mganga kuliko kutumia neno Dr!
   
 15. Bosi Michembe

  Bosi Michembe JF-Expert Member

  #15
  Oct 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hata siku moja huwa sivumilii na wala siungi mkono unyanyasaji wa wanyama hasa tunaoishi nao majumbani kama paka, mbwa, kuku nk. Huyu jamaa alituma vijana wake wakasafisha paka karibu wote kwenye mama lishe ya udsm mwaka 2008 kwa ajili ya matumizi yake ya kishirikina maeneo ya kibangu. That was not fair at all. Mwisho wa siku hatuwezi kuondokana na umaskini kama mindset ya watu wengi ni ushirikina na kuamini matunguri...
   
 16. Nyati

  Nyati JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2012
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 2,034
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  CNN wakisema sisi ni washirikina tuliopilitiza (Mabingwa Afrika tunalalamika) Ukweli unauma eheeeee! Pitia Dar uone matangazo ya waganga wenye kufanya maajabu mbali mbali. Vibao kila kona mpaka Masaki!!!
   
 17. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2012
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,769
  Likes Received: 574
  Trophy Points: 280
  Huyo Munayemuita Dr Manyaunyau si lolote si chochote ni Mtoto yatima ambae jina lake halisi ni JONGO aliyekua kwa shida maeneo ya KIWALANI Minazi mirefu akionyesha video kwenye banda la makuti kwa kulipwa chakula tu, baadae commedian mitaani na hapo ndipo alipopata ujasiri wa kukutana na watu wa rika tofauti, akaona hailipi na kujiingiza kwenye mchezo haramu wa KARATA TATU....wengi wamelia.....baadae akajiunga na kikundi cha maigizo cha KAOLE haieleweki huko nini kilitokea mpaka akaacha na kuanzisha UTAPELI wa uganga
  HAKIKA NAWADHIBITISHIA HAKUNA TIBA HAPO NI WIZI TU
   
 18. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #18
  Oct 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Jidu unamdanganya nani mwanangu? Ungetumia mganga nisingekuijia juu. Kwenye lugha hiyo ya wenzetu Dr. ni kifupi cha Doctor. Mganga wa kienyeji kama Manyaunyau huitwa Witchdoctor na hana acronym. Na wazungu waliposema witchdoctor hawajaanzia kwetu. Hawa walikuwapo wengi kwao enzi za ujima. Hivyo hata kama ukitumia kiswahili huyo si mganga tu bali mganga wa kienyeji hata saa nyingine mganga njaa. Nadhani mwanangu umenielewa mwalimu wako.
   
Loading...