barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,323
- 29,584
Dogo acha kukariri, kubadili system na law pf physics wapi na wapi??huwez kusukuma gari ukiwa ndani ya gari, kasome physics Newtons first law
Dogo acha kukariri, kubadili system na law pf physics wapi na wapi??huwez kusukuma gari ukiwa ndani ya gari, kasome physics Newtons first law
Unabadilishaje system wakati wewe mwenyewe uko ndani ya system hiyohiyo?mwisho utajibadilisha hata wewe mwenyewe.mh anacho kifanya ni kuwakomoa watangulizi wake kwa kuwaondoa watu wao waliowaacha ndani ya system.Tatizo hamjui hata maana ya system, kubadili system sio chadema wachukue dola, Jpm anapobadili wakurugemzi, ndo system hiyo inabadilishwa!!
Kwani hiyo serikali ya U.A.E ilitembeza bakuli kwa ajili ya kuwasaidia wahanga kisha ikawatosa?Ni bora uambiwe ujitambue kuliko kupewa ahadi za uongo.
U.A.E palitokea mafuliko makubwa magari mengi ya raia na wale ambao sio raia yalihalibika mengine kupotea.
Pamoja na utajili wake hakuna mtu aliyelipwa gari,au kutengenezewa nyumba .bali selikali yao ilitengeneza miundo mbinu mipya kudhibiti hali hiyo.
Hakuna nilipo taja chama cha mtu mkuu.ww ulitaka chama gani mkuu kiongoze?
Internal funds ?Kwani hiyo serikali ya U.A.E ilitembeza bakuli kwa ajili ya kuwasaidia wahanga kisha ikawatosa?
Au walitumia internal funds kuboresha miundo mbinu yao iliyoharibika na wananchi hawakuwa na vinyongo kwa sababu serikali haikuomba msaada kwa ajili yao kisha iwatose.
Ila kinachotuuma hapa nyumbani ni kuwa nchi rafiki zimewasaidia wahanga then mnufaika anakuwa mmoja tu ambaye ndiye aliyezipokea laiti kama angegawana hata kidogo na hao wenzie wala isingeleta makelele.
Maana mwanzoni kabisa walianza kufanya tathimini ya hasara na nyumba zilizobomoka tukajua hizo hela za michango zitaenda kuwasaidia wote waliofikwa na madhara ya lile tetemeko.
Kwani haya majanga kwa kuwa ni kwenu ndio tusiheme.mbona huo ukweli hausemwi wakati wa kampain.
siku mkipoteza madaraka mtajuta kilio cha kusaga meno. mnatuona sisi wananchi mafala enhe kwa kuwa mmeishapata. timepigwa na tetemeko. ukafuatia ukame. wakati tuhangaika kujenga nyumba tunaaambiwa tukalime hakuna chakula cha msaada sisi tutakuwa wageni wa nani nchi hij? ee mungu twende wapi Sie??
Italian Prime Minister Promises to Rebuild After Powerful QuakeWasalaam,
Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo, udanganyifu, unafiki, na kupakaziana bila kuwa wakweli, tukaomba tumpate Rais atakae kuwa mkweli, asiyeogopa lawama za ndugu, marafiki, na wananchi ili tusonge na kutoka tulipo.
Juzi Mh.Rais akiwa Kagera amewaambia wanakagera, waanga wa tetemeko na wananchi kwa ujumla ukweli uliyomchungu na usiopingika kuwa serikali haiko kwa ajili ya mtu mmoja mmoja bali kwa maslahi ya jumla ya wananchi wote.
Sisi watanzania tulikuwa tumezoea sana maisha malaini sana, ya msaada, tegemezi na kulialia na kununa, mfn. mtu akiwa mfanyakazi anakuwa na tegemezi wengi sana mjini na kijijini wote wanataka salary yake ika wengine sasa hawafanyi kazi kisa kaka,dada,mjomba n.k yupo bandari, tra,tanesco n.k kila mtu sasa afanye kazi na siyo kumtegemea mtu au mambo ya kona kona ili usawa uwepo na nchi isongeee. Nchi inaendelea kwa kuwa na producers wengi, sisi tuna production man-force kubwa ila wategeaje na wazembe.
Ifike wakati sasa ukweli usemwe hata kama ni chungu na ina kera kiasi gani. Awamu iliyopita watu walipenda kusikia uongo na maneno ya kuremba na kubembelezwa.
Issue ni je waliwatangazia kuwa hizo hela ni kwa ajili ya wanachi waliopata hayo majanga au walisem kwa ajili ya kurekebisha miundo mbinu ya nchi.Internal funds ?View attachment 453717
Ulijuaje kama haikuomba msaada?
Usiropoke tu ,tulichangishwa kwa kila kitu utakachonunua, hadi kwenye mtandao wao wa Simu waliongeza tarif.
Unajua unapokuwa mjinga si lazima uonyeshe ujinga wako hadharani Kama unavyofanya wewe.Wasalaam,
Juzi hotuba ya Mh.Rais kuna baadhi ya watu wanaiponda, mimi nashangaaa sana hivi watanzania tukoje? Nchi hii jamani tulifikia pabaya sana kwa serikali kuendeshwa kwa ghiliba, uongo, udanganyifu, unafiki, na kupakaziana bila kuwa wakweli, tukaomba tumpate Rais atakae kuwa mkweli, asiyeogopa lawama za ndugu, marafiki, na wananchi ili tusonge na kutoka tulipo.
Juzi Mh.Rais akiwa Kagera amewaambia wanakagera, waanga wa tetemeko na wananchi kwa ujumla ukweli uliyomchungu na usiopingika kuwa serikali haiko kwa ajili ya mtu mmoja mmoja bali kwa maslahi ya jumla ya wananchi wote.
Sisi watanzania tulikuwa tumezoea sana maisha malaini sana, ya msaada, tegemezi na kulialia na kununa, mfn. mtu akiwa mfanyakazi anakuwa na tegemezi wengi sana mjini na kijijini wote wanataka salary yake ika wengine sasa hawafanyi kazi kisa kaka,dada,mjomba n.k yupo bandari, tra,tanesco n.k kila mtu sasa afanye kazi na siyo kumtegemea mtu au mambo ya kona kona ili usawa uwepo na nchi isongeee. Nchi inaendelea kwa kuwa na producers wengi, sisi tuna production man-force kubwa ila wategeaje na wazembe.
Ifike wakati sasa ukweli usemwe hata kama ni chungu na ina kera kiasi gani. Awamu iliyopita watu walipenda kusikia uongo na maneno ya kuremba na kubembelezwa.
Walitangaza hadi sms tulitumiwa, ukiingia kwenye mall unakuta machupa makubwa yapo kwa ajili ya wale wanaochangia Moja kwa Moja yapo kama kibubu.Issue ni je waliwatangazia kuwa hizo hela ni kwa ajili ya wanachi waliopata hayo majanga au walisem kwa ajili ya kurekebisha miundo mbinu ya nchi.
Kinachotuuma hapa ni kuwa walitudanganya mwanzo wakati wanaomba misaada kwa kusema itawasaidia wananchi walioathirika.
Dogo acha kukariri, kubadili system ma laws pf physics wapi na wapi?? Labda figurative language yako hii.huwez kusukuma gari ukiwa ndani ya gari, kasome physics Newtons first law
OMG watu wanapata out of job allowance (unemployment benefit), kwenye mdororo wa uchumi ulisikia Obama alivyo mwaga fedha kuokoa mashirika, european farmers wanakula ruzuku kama hawana akili nzuri.Hao ufipa wasipinge uhalisia aisee! Mtu ajifunze kujikwamua mwenyewe ndo maana wazungu hawana tegemezi.
Ulichanga tsh ngapi?! Nijuavyo debe tupu haliachi kupiga kelele..
Kaka inshu ya tetemeko 1980: Tushukuru kuambiwa ukweli jamani.Italian Prime Minister Promises to Rebuild After Powerful Quake
by Claudio Lavanga, Tim Stelloh and Alastair Jamieson
ROME — Italian Prime Minister Matteo Renzi promised Sunday to rebuild after the most powerful earthquake to strike the country in 36 years toppled ancient buildings and left thousands of people seeking assistance and preparing for aftershocks.
Some injuries were reported, but no deaths had been linked to the 6.6-magnitude quake, which struck northeast of Rome at 7:40 a.m. (2:40 a.m. ET).
"We will rebuild everything — the houses, the churches, the shops," Renzi said at a news conference Sunday, according to The Associated Press. "We are dealing [with] marvelous territories, territories of beauty."
The jolt rattled a country still recovering from a pair of quakes Wednesday and from August's temblor that left almost 300 dead. Seismologists in Italy and Britain told the AP that more could be on the way.
"We cannot exclude the possibility of larger magnitude aftershocks," Margarita Segou of the British Geological Survey said, citing a series of quakes in Japan earlier this year.
On Sunday morning, nuns rushed out of their church in the central town of Norcia as the clock tower appeared about to crumble In Rieti, hospital patients fled into the street and and huddled outside under blankets.
A collapsed building in Norcia pictured on Italian television channel Sky Tg24. AFP - Getty Images
"It's as if the whole city fell down," Norcia city assessor Giuseppina Perla told the news agency ANSA. The city's ancient walls suffered damage, as did another famous Norcia church, St. Mary Argentea, known for its 15th-century frescoes.
The mayor of Ussita said 90 percent of houses in the town had been destroyed, La Repubblica reported.
Many residents in affected areas still were sleeping in cars or had been evacuated to shelters or hotels in other areas following last week's jolts, leaving the most quake-prone historic centers largely empty.
Still, nearly 8,000 people from the region had sought help from the civilian protection agency by Sunday night, the AP reported, and 3,000 more were expected to ask for assistance overnight.
In Rome, cracks appeared and bits of the ceiling fell in the Basilica San Paolo, a historic church and major tourist draw, ANSA reported.
"It is since 1980 that we have had to deal with an earthquake of this magnitude," said Fabrizio Curcio, head of the civil protection agency.
Curcio was referring to a 6.9-magnitude quake in a different region that includes Naples, which killed 3,000 people and caused extensive damage in November 1980.
Mnisaidie kwanza hapaIssue ni je waliwatangazia kuwa hizo hela ni kwa ajili ya wanachi waliopata hayo majanga au walisem kwa ajili ya kurekebisha miundo mbinu ya nchi.
Kinachotuuma hapa ni kuwa walitudanganya mwanzo wakati wanaomba misaada kwa kusema itawasaidia wananchi walioathirika.
Chukulia unachangisha mchango una ndugu yako yupo nyumbani anaumwa .Issue ni je waliwatangazia kuwa hizo hela ni kwa ajili ya wanachi waliopata hayo majanga au walisem kwa ajili ya kurekebisha miundo mbinu ya nchi.
Kinachotuuma hapa ni kuwa walitudanganya mwanzo wakati wanaomba misaada kwa kusema itawasaidia wananchi walioathirika.