Dr. Magufuli, wajibika kisiasa! Unahusika kwa hili...!

Ndakilawe

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
4,815
2,814
Kwa haya yaliyotokea DUMILA, daraja kuzombwa na maji, na barabara kuharibiwa vibaya, Dr. Magufuli wajibika kisiasa kama Mzee Kaghasheki, yeye ndie alihusika na usimamiaji wa kandarasi ya ujenzi wa daraja hili! Ni dhahiri limejengwa chini ya kiwango, ujenzi wake unawagharimu tena watanzania!

Mvua kidogo tu izombe daraja, haiwezekani, jiuzulu haraka!
 
Tatizo la kulewa viroba asubuhi! au hizi div5 za Kawambwa sasa zinaanza kuleta madhara kiasi kwamba hata hujui madhara ya mafuriko! hata Ulaya na Marekani madaja na barabara huwa zinaharibiwa na mafuriko, Nadhani unahitaji upewe elimu ya ufundi ili uelewe watu wanapotaka kujenga huzingatia vigezo gani.

Kwa haya yaliyotokea DUMILA, daraja kuzombwa na maji, na barabara kuharibiwa vibaya, Dr. Magufuli wajibika kisiasa kama Mzee Kaghasheki, yeye ndie alihusika na usimamiaji wa kandarasi ya ujenzi wa daraja hili! Ni dhahiri limejengwa chini ya kiwango, ujenzi wake unawagharimu tena watanzania!

Mvua kidogo tu izombe daraja, haiwezekani, jiuzulu haraka!
 
hii ni fitina ya kitoto tafuta wataalam wakufunde namna ya kupiga fitnah
 
upepo ni kwamba magufuri anatakiwa kuwajibika, kwani pale kuna mkandarasi wa kichina yuko on site since 2009 hUwezi kuamini hata kambi yake imezolewa na maji wanaogopa kutangaza kwani walijenga kambi yao bondeni jirani na kijiji cha magore.Hawa wachina kazi yao ni kuuza diesel ya kujiibia wenyewe na kusomba mchanga wa wajenzi wa pale Dumila.barabara waliojenga haijafika kilosa, na inasemekana iko chini ya kiwango kulingana na maelezo ya engineers.Lakini wameshindwa hata kuweka jiwe la msingi, wanaogopa kumpeleka JK kwani ni aibu.wala magufuri hajawahi kukagua.kuna ufisadi pale, daraja la dumila linatakiwa kujengwa upya walichofanya ni kujengea sehemu ndogo tu ni AIBU.Magufuri ajipime kwenye mzani.Usafirshaji mizigo kwenda land locked countries utakwama, uchumi pia hoi kwani bandarini mrundikano utaripotiwa ndani ya siku chache zijazio
 
Kwa haya yaliyotokea DUMILA, daraja kuzombwa na maji, na barabara kuharibiwa vibaya, Dr. Magufuli wajibika kisiasa kama Mzee Kaghasheki, yeye ndie alihusika na usimamiaji wa kandarasi ya ujenzi wa daraja hili! Ni dhahiri limejengwa chini ya kiwango, ujenzi wake unawagharimu tena watanzania!

Mvua kidogo tu izombe daraja, haiwezekani, jiuzulu haraka!

attachment.php
 
Dude, u need to re-evaluate yourself..............
 
samahani ndugu!kama nimekuelewa vizuri hiyo barabara haijakamilika,hivyo haijakabidhiwa kwa Magufuli, wa kuwajibika ni Mkandarasi na sio waziri.hapo mtakuwa mnatimua kwa fitna maana itabidi kila kosa likitokea,waziri fulani awajibike!Angekuwa amepokea hiyo barabara sawa!Jambo jingine ni kwamba, mafuriko ni mafuriko,yanaweza kufanya chochote.Kama picha nilizooona kwenye vyombo vya habari ni zenyewe,basi,sishangai daraja kubomolew na hayo maji
 
Kusema ukweli Magufulu amekuwa bingwa wa taarifa za ujenzi wa barabara akiwapotosha watanzania kuwa barabara na Magufuli na CCM ndiyo kila kitu. Reli imebinywa na Magufuli na wenzie wenye malori wenye kufadhili CCM. Kinachoonekana ni Nature kuingilia kati na kutuumbua wote kwa ujinga wa kutokuhoji. HUKU MAAFA HUKU FASTJET USWISS. HII NDIYO CCM NA SERIKALI YAKE
 
Kusema ukweli Magufulu amekuwa bingwa wa taarifa za ujenzi wa barabara akiwapotosha watanzania kuwa barabara na Magufuli na CCM ndiyo kila kitu. Reli imebinywa na Magufuli na wenzie wenye malori wenye kufadhili CCM. Kinachoonekana ni Nature kuingilia kati na kutuumbua wote kwa ujinga wa kutokuhoji. HUKU MAAFA HUKU FASTJET USWISS. HII NDIYO CCM NA SERIKALI YAKE.

HAKUNA WA KUWAJIBIKA HAPO NI UTEKELEZAJI WA SERA ZA CCM WA KUSABABASHA MAAFA KILA NYANJA NA KILA MAHALI.
 
Kwa haya yaliyotokea DUMILA, daraja kuzombwa na maji, na barabara kuharibiwa vibaya, Dr. Magufuli wajibika kisiasa kama Mzee Kaghasheki, yeye ndie alihusika na usimamiaji wa kandarasi ya ujenzi wa daraja hili! Ni dhahiri limejengwa chini ya kiwango, ujenzi wake unawagharimu tena watanzania!

Mvua kidogo tu izombe daraja, haiwezekani, jiuzulu haraka!

Sasa mmekosa kazi ama kweli hapa JF tunahitaji veting ya members, ili tuweze kuwaondoa wachangiaji wasio na msingi, kama ndakilawe> Badala ya kumshauri Magufuli ajiuzulu, si ungemtaka aliyeta mvua kali kama hiyo atupungizie kasi ya vimbunga.
 
Kwa haya yaliyotokea DUMILA, daraja kuzombwa na maji, na barabara kuharibiwa vibaya, Dr. Magufuli wajibika kisiasa kama Mzee Kaghasheki, yeye ndie alihusika na usimamiaji wa kandarasi ya ujenzi wa daraja hili! Ni dhahiri limejengwa chini ya kiwango, ujenzi wake unawagharimu tena watanzania!

Mvua kidogo tu izombe daraja, haiwezekani, jiuzulu haraka!

Sawa kaka ila najua hata ukiangalia mafuriko yanayotokea marekani uwa madaraja yanaharibiwa tena uharibifu mkubwa so sioni haja ya kumlaumu Magufuli mana hii kitu ya mafuriko ni natural na sio man made na always natural things sometimes inaweza kua controlled au difficult kua controlled.

Tusilaumu kila jambo wajameni na sometimes tuwe tunapima upepo
 
upepo ni kwamba magufuri anatakiwa kuwajibika, kwani pale kuna mkandarasi wa kichina yuko on site since 2009 hUwezi kuamini hata kambi yake imezolewa na maji wanaogopa kutangaza kwani walijenga kambi yao bondeni jirani na kijiji cha magore.Hawa wachina kazi yao ni kuuza diesel ya kujiibia wenyewe na kusomba mchanga wa wajenzi wa pale Dumila.barabara waliojenga haijafika kilosa, na inasemekana iko chini ya kiwango kulingana na maelezo ya engineers.Lakini wameshindwa hata kuweka jiwe la msingi, wanaogopa kumpeleka JK kwani ni aibu.wala magufuri hajawahi kukagua.kuna ufisadi pale, daraja la dumila linatakiwa kujengwa upya walichofanya ni kujengea sehemu ndogo tu ni AIBU.Magufuri ajipime kwenye mzani.Usafirshaji mizigo kwenda land locked countries utakwama, uchumi pia hoi kwani bandarini mrundikano utaripotiwa ndani ya siku chache zijazio

Unakunywa bange na kuvuta gongo bila shaka yoyote.
 
I think magufuli anatakiwa yeye na TANROADS yake wajitathmini.

Mafuriko kutokea Morogoro si mara ya kwanza kile ki daraja kilikuwa sio kiwango cha barabara kubwa!!
 
Back
Top Bottom