Dr. Magufuli nguli wa Sayansi anayejua matatizo ya Tanzania

baro

JF-Expert Member
May 12, 2014
2,987
3,720
Dr Magufuli ni miongoni mwa viongozi wachache duniani waliosoma Sayansi na Kui apply elimu kwa vitendo katika uongozi , moja ya sifa kuu ya mwanasayansi ni kufanya tafiti , hili Dr Magufuli alilitekeleza kwa vitendo kwa kuzunguka kwenye mizani mida ya kushtukiza na kukagua uendeshwaji wake na hasa kufuatilia suala la rushwa.

Dr. Magufuli kajipambanua kama kiongozi , Wa kuigwa na kufuata misingi ya Azimio ya Arusha kwa kujua kwamba ili nchi iendelee inahitaji ,vifuatavyo; Ardhi, Watu , uongozi Bora na Siasa safi.

Ardhi
Upande huu , kautendea haki kwani kawa kiongoz Wa kuigwa kwa kuhakikisha rasilimali Ardhi inatumika ipasavyo ikiwemo kujenga barabara za kiwango cha lami Tanzania nzima , kwa uthubutu Wa kusimamia pesa zinatoka.

Watu

Katumia rasilimali watu ipasavyo hasa kuwapigania wakandarasi wazawa waungane na kuhakikisha maendeleo ya Tanzania , yanaletwa na watanzania wenyewe.

Siasa Safi

Dr Maghufuli ni mwanasiasa asiyejihusisha na siasa za fitina,majungu na uzushi Bali ni muumini mzuri Wa siasa safi

Uongozi Bora

Katika uongoz bora kwa serikali ya awamu ya NNE , Dr Magufuli ameonesha njia ya uongoz bora na kuwa kiongoz Wa mfano kwa kila mtanzania

,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Huyu ndiye mwanasayansi aliyetumia elimu yake ya sayansi kufanikisha maendeleo ya kivitendo na yanayoonekana ndani na nje ya nchi

" God Created Tanzania as it is but Dr. Magufuli construct infrastructure which has not been in Tanzania"

Dr Magufuli deserve to be our next President 2015-2020
 
At lest wewe umeleta uzi wa maana..ila mfumo aliopo haufai..umeoza angetoroka aje sawa..ila kwa ccm ya akina lusinde, wasira, wema hapana nchi itadidimia kwenye matope
 
At lest wewe umeleta uzi wa maana..ila mfumo aliopo haufai..umeoza angetoroka aje sawa..ila kwa ccm ya akina lusinde, wasira, wema hapana nchi itadidimia kwenye matope

Aliyekuwa anaharibu mfumo wa ccm ni Lowasa kwa ufisadi wake na kutengeneza mitandao ya ujangili akiwa waziri mkuu sasa ccm ni safi mchafu mwizi na fisadi ameondoka mchukueni nendeni naye.
 
Mapombe uturudishie nyavu zetu.Ukala usije tutakuzamisha.

Unamuonea bure , yeye alikuwa anatekeleza sheria usishambulie bila kuelewa subiri akiwa rais afanye kazi ya kusimamia sheria uone watakavyokimbia nchi na uchumi Wa Tanzania kupaa
 
Magufuli ni mtu ambaye ameletwa na Mungu kututumikia Watanzania

sahihi kabisa mkuu magufuli ni chaguo la mungu fisadi Lowasa alitengeneza genge la wahuni na mafisadi lakini kwavile wametoka sasa ccm ni n jema.
 
Lizabon,usituletee za JK,maana leo anaondoka MCHAFU kuliko hata SHETANI.Bila CCM Tanzania inawezekana

mungu ametuambia magufuli ndiyo wakati wake sasa mungu atamvusha na kuwa kiongozi wa tanzania.
 
Unamuonea bure , yeye alikuwa anatekeleza sheria usishambulie bila kuelewa subiri akiwa rais afanye kazi ya kusimamia sheria uone watakavyokimbia nchi na uchumi Wa Tanzania kupaa

kwaiyo sisi sio watz?Huyu jamaa alituonea sana ndugu zetu wengi walizama na kupotea kwasababu ya Magufuli.Ukala asije alituonea sana na Alisahau mama yake ni ndugu yetu.Magufuli alitutesa sana na kutuletea umasikini mkubwa.
 
Huyo anaweza hesabu tu na kukariri dagaa na watoto wao waliopo ziwani, uongozi hamna. Watu hawali namba.

kwahiyo fisadi Lowasa atakuletea kiroba cha unga nyumbani kwako?...magufuli kiboko ya mafisadi na wezi kama wewe na Lowasa.
 
magufuli atawalaza nje mwaka huu wahuni kama mafisadi na wauza madawa akina makongoro mahanaga hawana chao wajiandae kulima tu hakuna vya bure tena.
 
magufuli kiboko ya mafisadi mpango wa maendeleo kwa watanzania.
 
Magufuli ameletwa na Mungu kututumikia Watanzania
huyo mungu aliyemleta bila shaka ni mungu mpenda umasikini kwa watz,mungu wa CCM ambaye hataki kutuona tunaishi maisha mazuri ktk nchi yenye kila aina ya utajiri wa asili.
maendeleo3.jpg

images

maskini+pix.jpg

yote-njaa-720173.jpg

cropped-2cm.jpeg
 
Matatizo ya watanzania hayahitaji science kutatuliwa Bali hekima na busara by that sense. Lowassa is the best
 
Back
Top Bottom