Dr. Magufuli ndiye Mwenyekiti bora kabisa wa chama cha siasa barani Afrika. Bila juhudi zake CCM ingekuwa kama KANU

Kulingana na KatIbu mkuu wa CCM, Dr. Bashiru, vyama kama KANU viliondoka madarakani kwa sababu havikutaka kutumia nguvu ya vyombo vya dola kubaki madarakani. CCM HAITAFANYA KOSA HILO. ITATUMIA VILIVYO NGUVU YA VYOMBO VYA DOLA DHIDI YA WAPINZANI ILI KUJIHAKIKISHIA KUBAKI MADARAKANI. Kukamatwa na vyombo vya dola, kutekwa, kupigwa, kubambikiwa makosa ya uhujumu uchumi na utakatishaji wa fedha, kutumia tume ya uchaguzi kubadilisha matokeo na maovu yote kwa kipindi hiki yatafanywa sana na vyombo vya dola kwa maelekezo ya Ccm ili ibaki madarakani. So what???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aah wapi njaa bado haijawakamata vizuri watz nauomba Jamaa aongeze spidi ya kukaza vyuma akili zitazibuka.Kwani Gaddafi, Saddam, Mugabe, moi, bashir,yahya jameih,Laurent bagbo hawa hawakuwa Na dola?
 
Qualify "mwenyekiti bora". Kama ni kuhamasisha hata Hitler aliweza sana kuhamasisha Nazi hadi vyama vingine vya siasa vikafa. Lakini leo hii histroria inaonyesha wazi hatuwezi kusema Hitler alikuwa mwenyekiti bora.
 
Back
Top Bottom