Wakuu jana nimeona taarifa ambazo ziliniacha na bumbuazi kuhusu kitanda maalum cha kuzalishia watoto eti bei yake ni milioni 2 .5 nimejiuliza ni kitanda cha namna gani cjaelewa. Hebu wenye taarifa zaidi wanijuze maana naona kama wanacheza sarakas kwani badala waongeze majengo wao wanaongeza vitanda kwani kuna jengo ambalo halikuwa na vitanda na kwanini wacweke vitanda vya double deckar ndo kulala chini ingekuwa historia
Shida ni kwamba sheria za manunuzi zilivunjwa.Na huo uharaka haukuwepo kihivyo.
Aha supply ya LPO kwani muhimbili walikuwa na Make/Model ya hivyo vitanda?Usanini unachosha na kuumbua.Km alivyoiba show kwa TB Joshua halfu akaachwa siku ya kuapishwa?
Hao wabunge walichangaisha cash au kwa cheque na mpesa?What a ajoke?wote walikuwa bank moja na msd hadi cheque ziweze mature?hizo cash walideposit lini?Au magufuli anataka tuambia kwamba walishafanya sanaa mapema.
Km msd walishakuwa nayo ktk stock kwanini tena walisubiri kulipwa hela na serikali wakati nao ni mradi wa serikali?Ina maana taasisi ya serikali inaweza igomea serikali kupeleka vitanda kwa wananchi walipa kodi?Nani anaimiliki MSD km si wananchi?What a bunch of conflicts.
Naamini hujui mengi katika afya, uliza kwa jirani kwanza. Hata kuandika Muhimbili kumekutatiza.Wakuu jana nimeona taarifa ambazo ziliniacha na bumbuazi kuhusu kitanda maalum cha kuzalishia watoto eti bei yake ni milioni 2 .5 nimejiuliza ni kitanda cha namna gani cjaelewa. Hebu wenye taarifa zaidi wanijuze maana naona kama wanacheza sarakas kwani badala waongeze majengo wao wanaongeza vitanda kwani kuna jengo ambalo halikuwa na vitanda na kwanini wacweke vitanda vya double deckar ndo kulala chini ingekuwa historia
Endelea kuamini hvyo hvyo, JK anunue vitanda halafu hela ya kwendea USA ataitolea wap au hela ya kuandaa bata za mjengoniHebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.
Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?
Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na jana ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa vipi jamani mbona wanaanza kutudanganya mapema hivyo?
Mimi ninavyooamini ni kwamba hivyo vitanda vitakuwa vilikuwa vimenunuliwa tayari kwa kipindi cha JK na jana ndo viliwasili wametaka kucheza na akili zetu ili tumpatie sifa rais lakini mimi najua hili haliwezekani kwa siku moja na HAIWEZEKANI KABISA tusidanganywe mchana kweupe. Namtakia rais ufanisi mwema na awe msema kweli kwani atakuwa mpenzi wa Mungu kama anavyosemaga aachane na mfumo wa ccm wa uongo uongo.
Huna la maana unalo lalamikia.
Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.

Usiwe mtoto kihivyo.Unajua Magufuli aliingia saa ngapi ktk hiyo tafrija,na muda gani alitangaza hivyo?Hiyo saa hakuna mtu kwa office labda awe kaarifiwa mapema.[/QUOT
ndioWeweto mbmtmbururam,mbumbu na lofa, , fuatilia taarifa hiyo hata humu jamvini ilikuwemo kabla hata tafrija hiyo ya wabunge, hata kwa groups ilizunguuka kabla hata ya hiyo cocktail
Thats why tunakuawa na head kwenye uongozi
The Presidents say is considered the best
Vitanda kwanza procedure baadae ole wako wewe uliye na vitanda halafu hutaki kukabidhi serikali
Kwani serikali inahama leta vitanda fuatilia pesa kesho hutaki tunasema uneviingiza nchini kimagendo
Hahahaa Magufuli Big up baba
Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.
Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?
Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na jana ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa vipi jamani mbona wanaanza kutudanganya mapema hivyo?
Mimi ninavyooamini ni kwamba hivyo vitanda vitakuwa vilikuwa vimenunuliwa tayari kwa kipindi cha JK na jana ndo viliwasili wametaka kucheza na akili zetu ili tumpatie sifa rais lakini mimi najua hili haliwezekani kwa siku moja na HAIWEZEKANI KABISA tusidanganywe mchana kweupe. Namtakia rais ufanisi mwema na awe msema kweli kwani atakuwa mpenzi wa Mungu kama anavyosemaga aachane na mfumo wa ccm wa uongo uongo.
Boss, Jifunza kujibu hoja kwa hoja na si kubadili mada kuu.Hatusumbuki na nyie wakenya mlioingizwa hapa nchini na wana siasa uchwara kuvuruga uchaguzi!!!
Nyie hakuna jema atakalo fanya Raisi wetu mkalikubali!!
Mtapinga tuuu!!!!