Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.

Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?

Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na jana ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa vipi jamani mbona wanaanza kutudanganya mapema hivyo?

Mimi ninavyooamini ni kwamba hivyo vitanda vitakuwa vilikuwa vimenunuliwa tayari kwa kipindi cha JK na jana ndo viliwasili wametaka kucheza na akili zetu ili tumpatie sifa rais lakini mimi najua hili haliwezekani kwa siku moja na HAIWEZEKANI KABISA tusidanganywe mchana kweupe. Namtakia rais ufanisi mwema na awe msema kweli kwani atakuwa mpenzi wa Mungu kama anavyosemaga aachane na mfumo wa ccm wa uongo uongo.

Doubting Thomas
 
Hawa wote wanaoandika kuhusu taratibu wangeenda wao kununua vitanda na kupeleka muhimbili wangeonekana wa maana kuliko kuandiika vitu jf havina kichwa wala mguu.atambue mungu mpe nguvu na hekima huruma mh.raisi atekeleze anayosema na tunakupa support anza na hiyo sheria ya manunuzi ndio kichochoro cha wapiga dili aliligusia hili ktk hotuba yake

Sio jibu la hoja
 
Nadhani maelezo yako yamwisho siyo sahihi. Hata kama fedha zimechangwa na wafadhili zikishaingia serikalini na kufanya manunuzi ya vifaa vya umma zinatakiwa kufata taratibu za umma. Kinachoweza kuwa kimefanyika hapa ni kuwaagiza MSD kupeleka vitanda hivyo kwa ahafi kuwa fedha ipo na watalipwa. Fedha hiyo ndiyo hiyo iliyochangwa. Yawezekana pia kuwa mchakato ulikuwa umekamilika na pengine kilichikuwa kikisubiriwa na fedha kupatikana! Jengo la Moi limekamilikana sasa kinachofanyika ni kununua vifaana kuvifunga ili vianze kutumika. Ikumbukwe kuwa hakuna jengo ambali MNH lina nafasi ya kuweka vitanda zaidi ya vilivyomo. Wagonjwa wanalala chini si kwa kukosavitanda bali uwezo wa hospitali.

Waeleweshe mkuu
 
Magufuli ni wa CCM ile ile natultea hadithi mwanzo mwso ukwel wana wapreempty wananchi wamuone wa maaa maana nalikataliwa
 
1. Kwanza ujue vitanda vimetoka MSD taasisi ya kibiashara ya umma. Yawezekana viliagizwa kwa malengo mengine lakini kwasasa limepatikana hitaji la ghafla lenye uhakika wa malipo, una supply na kuagiza vingine kuziba pengo la mahitaji.

2. Huhitaji quotation tatu au Tender procedure sababu ni kama msaada wa hisani hauangukii katika mfumo wa manunuzi ya umma kumbuka ni pesa iliyochangwa na wahisani.

3. Unapokuwa na uhakika wa kulipa si lazima pesa itoke saa hiyo hiyo, unachotakiwa kujua ni gharama ya idadi ya vitanda kwa pesa uliyonayo na malipo yanafuata baada ya kupata hati ya madai.

MSD hii hii tuliosikia inaidai serikali? Vitanda vya hospitali vinaweza kuwa na malengo mengine yapi? Gesti? Acha porojo wewe.

2. Huhitaji quotation kwa kuwa unanunua matikiti kwa ajili ya futari ya familia yako au unazungumzia professional business transaction?

3. Hati ya madai (Tax Invoice) unayozungumzia hapa inakuwa issue against LPO/ PO ambayo ili itolewe, lazima Profoma Invoice iwe ilitolewa. Kadogoo, kuna tofauti ya kununua maandazi au pampers kwa Mangi na manunuzi ya vitu vya mamilioni ya shilingi. Hivi kwa akili yako hii, unadhani terms za manunuzi, ubora wa bidhaa na return policy vinajadiliwa kwenye karatasi gani?

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
 
Jf tuache matusi Kama taratibu hazifuatwi kwa kuwa rais kasema laweza kuwa chaka LA wajanja

Heko jpm lla tujiridhishe na kanuni na taratibu
 
Nu kweli naanza kuamini walioko hapa diyo wote watanzania maana mtu anaamka na kuanza kuandika upuuzi tu.
 
MSD hii hii tuliosikia inaidai serikali? Vitanda vya hospitali vinaweza kuwa na malengo mengine yapi? Gesti? Acha porojo wewe.

2. Huhitaji quotation kwa kuwa unanunua matikiti kwa ajili ya futari ya familia yako au unazungumzia professional business transaction?

3. Hati ya madai (Tax Invoice) unayozungumzia hapa inakuwa issue against LPO/ PO ambayo ili itolewe, lazima Profoma Invoice iwe ilitolewa. Kadogoo, kuna tofauti ya kununua maandazi au pampers kwa Mangi na manunuzi ya vitu vya mamilioni ya shilingi. Hivi kwa akili yako hii, unadhani terms za manunuzi, ubora wa bidhaa na return policy vinajadiliwa kwenye karatasi gani?

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu

Tatizo una mhemuko usomi ukatafakari, Nakushauri ufanye utafiti kabla ya kujifanya una elimu. Fedha za wahisani (zilizonchangwa kama hizi) matumizi yake hayaangukii katika kanuni za manunuzi ya umma. Sababu hazitokani na bajeti ya serikali. Hutaki unaacha
 
Hatusumbuki na nyie wakenya mlioingizwa hapa nchini na wana siasa uchwara kuvuruga uchaguzi!!!
Nyie hakuna jema atakalo fanya Raisi wetu mkalikubali!!
Mtapinga tuuu!!!!

kwanini usijubu hoja take turns? sio lazime tuhisi elimu yako
 
Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.

Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?

Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na jana ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa vipi jamani mbona wanaanza kutudanganya mapema hivyo?

Mimi ninavyooamini ni kwamba hivyo vitanda vitakuwa vilikuwa vimenunuliwa tayari kwa kipindi cha JK na jana ndo viliwasili wametaka kucheza na akili zetu ili tumpatie sifa rais lakini mimi najua hili haliwezekani kwa siku moja na HAIWEZEKANI KABISA tusidanganywe mchana kweupe. Namtakia rais ufanisi mwema na awe msema kweli kwani atakuwa mpenzi wa Mungu kama anavyosemaga aachane na mfumo wa ccm wa uongo uongo.

Jiulize kwanza tatizo muhimbili ni vitanda au wagonjwa kuzidi uwezo wa hospitali??

Ukienda wodini muhimbili kila nafasi inapotakiwa kuwepo kitanda kitanda kipo?

Hivyo vipya vinakwenda wekwa wapi????
 
Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.

Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?

Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na jana ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa vipi jamani mbona wanaanza kutudanganya mapema hivyo?

Mimi ninavyooamini ni kwamba hivyo vitanda vitakuwa vilikuwa vimenunuliwa tayari kwa kipindi cha JK na jana ndo viliwasili wametaka kucheza na akili zetu ili tumpatie sifa rais lakini mimi najua hili haliwezekani kwa siku moja na HAIWEZEKANI KABISA tusidanganywe mchana kweupe. Namtakia rais ufanisi mwema na awe msema kweli kwani atakuwa mpenzi wa Mungu kama anavyosemaga aachane na mfumo wa ccm wa uongo uongo.

Hahaha katika vilaza wa mwisho wewe upo wakati office ya bunge inaanda maandalizi ya hizi sherehe ya walitumia muda gani kaka kuaanda sherehe yao ?
 
Nachi dachi!

Katafute hina uendelee kujichora ukae kibarazani wapitanjia wakuone, maana hata ulichoandika hakieleweki.

Aagh na bado "wanakiuliza" hiyo tena roho kutu kuuma mumezoea kuiba kula vya bure mtanyooka tu.

Karibu unipake kwenye kidole nilichowekea wino wa kupigia kura.
 
MSD hii hii tuliosikia inaidai serikali? Vitanda vya hospitali vinaweza kuwa na malengo mengine yapi? Gesti? Acha porojo wewe.

2. Huhitaji quotation kwa kuwa unanunua matikiti kwa ajili ya futari ya familia yako au unazungumzia professional business transaction?

3. Hati ya madai (Tax Invoice) unayozungumzia hapa inakuwa issue against LPO/ PO ambayo ili itolewe, lazima Profoma Invoice iwe ilitolewa. Kadogoo, kuna tofauti ya kununua maandazi au pampers kwa Mangi na manunuzi ya vitu vya mamilioni ya shilingi. Hivi kwa akili yako hii, unadhani terms za manunuzi, ubora wa bidhaa na return policy vinajadiliwa kwenye karatasi gani?

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu

Wewe endelea kupiga kelele zisizokuwa na tija. Hivi nguvu yote hii unatumia hapa ili iweje!? Huna kazi ya kufanya!? Tatizo lako nini!? Let say basi Magufuli kapotosha. Sasa ndio nini!? Itapunguza nini labda!? Maana utake usitake vitanda tayari vipo Muhimbili. Ikiwa kuna pesa imeibiwa...it's not your concern...pesa sio yako wala haijatokana na mapato ya kodi. Wewe kitoa upepo kinakuwasha cha nini!?
 
Makamanda tulieni mbona mnakuwa na haraka vitanda alivyoangiza rais Magufuli bado hawajavipeleka vile vitanda ni vya MOI.
 
Ritz, hili ndilo jambo ambalo watu wanachanganya!

MOI ni Taaasisi(ina uongozi wake ingawa kuna MoU ma MNH), Vitanda hivi vya MOI na si vinginevyo(MNH). Ukosefu wa kutambua hili au kupotosha kwa makusudi(kwa malengo binafsi) ndiko kunasababisha haya!
 
Hivxo bvitanda ni kwa ajili ya jengo jipya karibu na moi, wala siyo hivi vya magufuli! Ni wapambe tu wana wanajaribu kujipendekeza kwa magufulli kwa sababu wanamjua anayopenda sifa za kwenye media!

Unaweza kuwa wewe ni mkweli! Duh
 
Uko sahihi mkuu. Ni wale wenye akili za nazi wanaweza kukubali uongo wa mchana. Kwa weledi wanajua sifa za kijinga zinavyotafutwa kwa nguvu. Na mijitu inashangilia kama mazuzu, haihangaiki hata kushirikisha ubungo

Back
Top Bottom