Ndugu wana board ninasikitika kuwaandikia ujumbe huu, kuwa JPM alikuwa na nia nzuri kwa nchi yetu na raia wa Tanzania kwa ujumla, ila mlango alioingilia wa chama ambacho kilishalaaniwa kamwe hatafanikiwa.
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa ccm inanuka, bahati mbaya hakutokea nabii au mtu aliyetenda muujiza kama ilivyotokea kwa Lazaro aliyekuwa amekufa siku nne na kufufuliwa na Yesu. nikuhakikishie kama JPM angepatikana kupitia chama kingine tofauti na ccm angeweza kufanya mambo makubwa sana,ila kwa kuwa ameambatana na kilicho laaniwa hata ingekuwaje hatoweza ila atajikuta anapoteza umaarufu alioanza nao kitaifa na kimataifa.
CCM ni sawa na shetani au joka lenye sumu, usitarajie shetani kuwa mwema hata kama mngemwombea miaka yote