Dr. Lwaitama apangua hoja za Prof. Kabudi na wengine wanaomshutumu Lissu

Amesema ukweli sana.
Tukisema wanaohoji utendaji wa serikali sio wazalendo basi itamaanisha na Raisi alivyohoji utendaji wa polisi kuhusu tukio la Mo nayeye(Raisi) anakua si mzalendo...
 
ITV imeshika adabu, STAR TV ni marehemu anatembea na sanda, waliobaki wanamilikiwa na nzi wa kijani, sisi tukitaka habari tunaangalia al jazeera, bbc, KTN,CITIZEN NA TBC.


JUST imagine TBC hawatangazi kabisa habari za vyama vingine isipokuwa tu kama mpinzani akihamia CCM kwao ni habari.
Tbc ni kishindo cha awamu ya tano 24/7 mkuu. Uchumi unazidi kudorora wao wanasifia ujinga tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya viongozi ambao nawaheshimu sana ambao wapo nje ya ajira ya serikali ni huyu mzee lwaitama

In God we trust

Ameamua kuzeeka na Utamu wake kama Mua ,hongera kwake na Mungu amjaalie Maisha marefu huyu Mzee.
 
Back
Top Bottom