Dr. Kumtaka mgonjwa wake ni sahihi

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,791
8,739
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.
 
Makubwa haya...., Pole sana na msamehe bure tu.
 
We nae, mtu kajitolea kukulipia, ndo kakuharibia jioni hivyo?

Hii inaonesha ni kiasi gani maadili ya kazi hayafuatwi. Angeweza kuhudumia, akamaliza, wakati unatoka ndio akakufuata kukutongoza, who know alichojisia kwako ni nini? Je kama kweli ni lavu ati festi saiti?
 
Mm nlijua kaomba papuchi au kakushika papuchi nawakati waumwa macho au kichwa!kumbe kulipiwa aaahhh shukuru mungu pengine nikawaida yake siku z sikukuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu sikuwa na shida ya kulipiwa kwa dizaini ile pale kwa kutaka mzigo aliniudhi sina pakusemea ndo maana nimekuja kwenu mnisaidie hizi hasira nilizonazo
 
Mm nlijua kaomba papuchi au kakushika papuchi nawakati waumwa macho au kichwa!kumbe kulipiwa aaahhh shukuru mungu pengine nikawaida yake siku z sikukuu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

mkuu ka kwambia nani hayo maneno
 
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.

Duh aisee pole sana
 
Take it easy
He got a right 2fall in luv jst lyk the rest of us

Via Blackberry
 
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.

Mpaka ww kuja kuandika sredi ya swali la namna hiyo, kwisha habari yko.
 
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,

Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.

Kwani? Madokta hawamo kwenye kundi la binadamu?

Habari ya Hapa , nafikiri baada ya ombi lake option zako ni ama kukubali ama kukataa, mengine ni maneno tu!
 
Pole sana....si jambo jema kabisa...ila hapa tanzania hizi kazi zisipowekewa control zaidi itakuwa taabu....LAKINI jamani najua maisha ni magumu...LAKINI tukiumwa tujaribu kwendea hospitali zinazo eleweka basi...zenye vipimo vinavyoeleweka na skilled personel(dr and nurses ambao wanafuata MEDICAL ETHICS)....pole sana
 
Angekua mhasibu wa bank sijui ungetuambiaje?
Ishu hapo ni the way aliku approach,amechanganya kazi na personal issues....ila angechukua namba then baadae akakutongoza hapo will be your option!!
 
Umechukia kutongozwa ukiwa mgonjwa, au kutongozwa na daktari?

km alikuwa na nia hiyo alitakiwa anitafute nje hapo na pia km ni mstaarabu na anaheshimu kazi yake alitakiwa achukue mawasiliano yangu baadae anitafute kwa ufupi nimekerwa sana
 
Angekua mhasibu wa bank sijui ungetuambiaje?
Ishu hapo ni the way aliku approach,amechanganya kazi na personal issues....ila angechukua namba then baadae akakutongoza hapo will be your option!!

mkuu umenifanya nicheke kidogo hapo me nimefuata tiba yy anaingiza vitu vingine ambavyo c pahala pale hapo ndipo alipovuruga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom