habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,739
Wakati watu wanasherehekea X-mass me nilikuwa naumwa, lkn nashukuru Mungu naendelea vyema, siku ya sikukuu mida ya jioni baada ya homa kupamba moto ilinipidi niende katika zahati moja hiv karibu na ninapoishi,
Nilipofika nilimkuta Dr. mwanaume , alinihudumia vizuri lkn mwishoni aliniudhi sana yule Dr. kuanza kunitaka me mgonjwa wake ukweli alinikera yaani aliniharibia jioni yangu, nilimwambia nipigie mahesa vipimo pamoja na dawa ni kiasi gani nadaiwa alikataa nakusema nenda tu nitakulipia, niliondoka zangu.
Baada ya kuondoka nilijiuliza maswali hiv huyo anafanya biashara gani? kwa siku wanafika wanawake wangapi pale?, anaingiza pesa kweli? Sikupata majibu.