Luushu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2012
- 812
- 468
iramba magharibi ndio jimbo linaloshikiliwa na bwana mwigulu nchemba?
ndio hilo mkuu
iramba magharibi ndio jimbo linaloshikiliwa na bwana mwigulu nchemba?
Foundation wala!! Serekali haina Nguvu unayoidhania ...!! Na serekali yenyewe inajua hilo!! Hakika kuna ufa mkubwa sana in energy level ndani ya CCM sasa kuliko wakati mwingine!! Na jinsi ya kuumalizia ni Kuingiza Saikolojia ndani ya sisa ... Ndicho anachofanya Kitila !! Hawatamuweza wala hawatamfanya chochote!!Kwa staili hiyo na ninavyo wajua magamba, siku zake UDSM zinahesabika. Haya ni maoni yangu
Mbona tayari washaanza kuwekea vigingi vya hapa na pale? Kwenye school of education, members walimpigia ili awe ndiyo dean wao wa school, wakubwa wakampiga chini na kumpa mwingine. Sasa tunadhani huo unaweza kuwa ni mwanzo tu, mbele ya safari wanaweza fanya makubwa zaidi dhidi ya huyu bwana. Though ninaamini, Kitila ni kichwa makini, sijui atafanya nini kujinasua kutoka kwenye hizi fitina ambazo tayari zimeshaanza.Kwa staili hiyo na ninavyo wajua magamba, siku zake UDSM zinahesabika. Haya ni maoni yangu
Dr.Kitila Umesema kweli woga umetuzidi sana, ila siku itafika hofu itaondoka. Huyo Mwigulu hana chake, nawahakikishieni hana chake tena. Mimi ni mzaliwa wa kijiji cha Makunda kata ya Kyengege anakozaliwa Mwigulu, wanachi wamesubiri kumpa zawadi yake hapo 2015, hawana hamu naye tena. Ni mtoto mdogo lakini kwa kuwa kakua vibaya hatuna namna nyingine zaidi ya kumnyonga tunakuhitaji kamanda Dr. Kitila ukitaka kujua fika Kyengege, Mugundu, Malugha, Kyalosangi, Misigiri, ukisogea KIomboi ndiyo basi Dr. Jina lako linasemwa hadi maeneo ya Ndurumo na luono nakupa habari za kweli Mwigulu keshapigwa. Nilikuwa Kwa bibi yangu maeneo ya kisana nilishangaa kukuta pamoja na uzee wake yuko well informed CCM si chaguo lake tena.
Kwa staili hiyo na ninavyo wajua magamba, siku zake UDSM zinahesabika. Haya ni maoni yangu
Kwa staili hiyo na ninavyo wajua magamba, siku zake UDSM zinahesabika. Haya ni maoni yangu
Kwa staili hiyo na ninavyo wajua magamba, siku zake UDSM zinahesabika. Haya ni maoni yangu
Lakini naomba niwaulizeni inakuaje yeye anaweza kujishughulisha na chama ili hali yeye bado ni mtumishi wa umma?Hapo imekaaje nisaidieni maana nami natamani sana kujumuika ila kwa vile ni mtumishi naogopa sheria zisije zikanibana.
Kwa staili hiyo na ninavyo wajua magamba, siku zake UDSM zinahesabika. Haya ni maoni yangu