Dr Kitila Mkumbo for CHADEMA Presidency!

Ninamfahamu sana tu

Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining

remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!
Hujanielewa, mimi nazungumzia m/kiti wa chama, si urais
 
Lol..omr..
Huyo kitila hata hajawahi kuwa balozi wa nyumba kumi.
Nyerere wakati anapata uwaziri mkuu na hatimaye urais alikuwa balozi wa mtaa gani vile? Nini tofauti yake kiuongozi na watu waliowahi kuwa mawaziri waandamizi?
 
Yaani ukisoma comment karibu zote hapa utagundua ni kwa nini watanzania wengi wamezoea kuvurunda mambo, mtoa mada kavurunda kwa title yake! Lakini kwa mtu wa kiwango chochote kile akisoma ataelewa, sasa ajabu angalia wakuu hapa wamekomaa na urais wa nchi..
 
Kitila alikuwa Rais wetu wa DARUSO pale UDSM na Uongozi wake unakumbukwa mpaka sasa.
 
mbona watu mnapenda kutawaza kabla ya haja kubwa kuchomoka??? toeni kwanza kinyesi mwezi bado mchanga huu

kuna mambo mengi sana kabla ya 2015..
 
Soma thread title vizuri ''Re: Dr Kitila Mkumbo for Chadema Presidency!''

Sijasema Presidential candidate, ila namaanisha chairman. Bado Dr Slaa ana nafasi kubwa na natabiri ataingia madarakani kama Satta.
Naomba radhi kwa kutumia neno' Kaskazini". Kwanza mimi ni kati ya watu ambao hatuamini kwenye ubaguzi na pia kama kuna mtu wa kaskazini mzuri kwa nini asiwe rais? Tatizo langu si ubaguzi ila ni siasa. Kwamba CCM wamefanikiwa kuwaaminisha watu kuwa chadema ni cha wachagga wanataka kuchukua nchi. Nilienda Iringa sehemu watu wanasoma magazeti wakawa wanasema wanawachukia chadema kwani ni chama cha wachagga wanataka kututawala. Niliwaelimisha sana bila mafanikio.

Kama chadema wakiweza kumweka m/kiti ambaye si wa kaskazini, hoja hii itakosa nguvu. Ni hoja ya uongo of course ila inatumika na wapinzani wa chadema kama CCM, CUF na NCCR na kweli inatugarimu. Nakumbuka Obama aliacha kwa makusudi kutumia jina Hussein akiogopa watamchukulia kuwa ni Muslim. Hizo ni mbinu za kisiasa tu. Mimi ni kati ya watu ambao napendekeza Mkiti asitoke tena kaskazini ila Dr Slaa abaki kama katibu mkuu na mgombea wa urais 2015
 
Sredi yote imekosa mantiki kwa kuleta ubaguzi wa kikanda!!!!
Hii inaonesha wivu juu ya watu wa kandaya kanda ya kaskazini but ukweli unabaki pale pale watu wa kanda ya kaskazini ni wachapakazi ndo sababu kwao kuna maendeleo!!!
Jamani mbona tunamsakama mtoa siredi kuhusu suala la ukanda wa kaskazini? Haya si mawazo yake bali ni maazimio ya baraza la kuu umoja wa vijana mkoa wa pwani lililoketi Bagamoyo akiwepo na mwana wa mfalme R1, ambalo lilitamka bila kumumunya maneno kwamba "rais hatatoka kaskazini" na kwamba ni "kikwete ndiye anayemfahamu next president"
 
Sijasema Presidential candidate, ila namaanisha chairman. Bado Dr Slaa ana nafasi kubwa na natabiri ataingia madarakani kama Satta.
Naomba radhi kwa kutumia neno' Kaskazini". Kwanza mimi ni kati ya watu ambao hatuamini kwenye ubaguzi na pia kama kuna mtu wa kaskazini mzuri kwa nini asiwe rais? Tatizo langu si ubaguzi ila ni siasa. Kwamba CCM wamefanikiwa kuwaaminisha watu kuwa chadema ni cha wachagga wanataka kuchukua nchi. Nilienda Iringa sehemu watu wanasoma magazeti wakawa wanasema wanawachukia chadema kwani ni chama cha wachagga wanataka kututawala. Niliwaelimisha sana bila mafanikio.

Kama chadema wakiweza kumweka m/kiti ambaye si wa kaskazini, hoja hii itakosa nguvu. Ni hoja ya uongo of course ila inatumika na wapinzani wa chadema kama CCM, CUF na NCCR na kweli inatugarimu. Nakumbuka Obama aliacha kwa makusudi kutumia jina Hussein akiogopa watamchukulia kuwa ni Muslim. Hizo ni mbinu za kisiasa tu. Mimi ni kati ya watu ambao napendekeza Mkiti asitoke tena kaskazini ila Dr Slaa abaki kama katibu mkuu na mgombea wa urais 2015

Kwa hiyo waweke mwenyekiti Mnyamwezi na CCM wakisema chama cha wanyamwezi CHADEMA wateue tena Mmakonde? Mbona fikra zako fupi sana? yaani unataka CHADEMA wafanye vile CCM watakavyo au wewe wampenda sana huyo Mkumbo?
 
Tuna tatizo kubwa sana.Kuna mtu alisema viongozi tulio nao Tanzania ni reflection ya sisi wananchi,sioni kama alikosea sana! Why are we so allergic to New Changes?

Demokrasia inatoa mwanya kwa mwanachama yeyote kugombea nafasi ya juu ya uongozi.Lakini mara nyingi katika uwanja wa siasa Demokrasia hii ya kimagharaibi inazua utata,na labda tuje tu we na mjadala separate kuhusu hili kwa sababu demokrasia katika real sense ya 'The government of people by the people and for the people' haijawahi kutekelezwa katika ukamilifu wake ili ilete au ijenge aura ya Utakatifu wa mamlaka ya kisiasa

Tukiogopa kuruhusu demokrasia kufuata mkondo wake tutakuwa tunashangaza mno,lakini bado pia hata ambao hawatashangaa hawatastahili kulaumiwa kwa sababu hii dhana ya Democracy ni ambiguous na utekelezaji wake ni kama maji na mkondo wake(Hapa kunahitaji Debate).Turuhusu tu uwanja mpana wa Demokrasia uchukue mkondo wake,kama kuna Mwanasiasa anayetiliwa mashaka katika harakati za kugombea uongozi wa chama cha siasa basi ni jukumu lake kuwaaminisha wanachama wa chama husika waamini kinyume.Pia ni jukumu la mamlaka katika vyama vya siasa kuhakikisha Democracy prevails

If a new vision is not allowed to take over our political space, 50 years za uhuru and less of our democracy pose the challenge of what can be an endless rite of passage.

I feel a great sense of optimism in spite of the obstacles. That is the power of youth. Chadema as a serious Opposition party has had its great and low moments, but that is true of all Vibrant opposition camps in Africa and in the world. The energy to draw from those great moments will be embedded in our youth, it will be demonstrated in the feat we accomplish when we do great deeds and score remarkable goals in Tanzania and Beyond Borders.Chama serious cha siasa ni lazima pia kilenge on Grand intergration beyond Borders.ANC wanafanya hivyo,NDC Ghana wanafanya hivyo,NRM Uganda,PDP Nigeria wanafanya hivyo.Unapopigania Uhuru wa pili,Economic Freedom ambayo itakuwa ni struggle ya vyama vya siasa vya Africa ni lazima pia ujenge legacy kama ya vyama vilivyopigania uhuru wa kwanza kama TANU,KANU,SWAPO,ANC,ZANU-PF,FRELIMO,RENAMO etc

Forming the party is one thing grounding and grooming the required people to remain within the created structure and policy is another. Especially in a country of ours where trust between the governor and the governed is non-existent.

Cha msingi kinachohitajika ni umakini wa wanachama na umakini wa mgombea mwenyewe katika kumfanyia assesment the aspiring leader.Dr.Kitila(Sijawahi ku-doubt uwezo wake) au Mtu mwingine yeyote Mwaminifu kwa chama na Taifa,mzalendo wa Kweli asiyetia shaka kama ataamua kugombea basi aachwe Demokrasia ichukue mkondo wake
 
Agombee kwanza ubunge kwao!tumpime
Kupata au kukosa ubunge kwao sio kipimo, watz wenyewe ndo hawa wakipewa chumvi, t shirt na kofia basi, hawatumii kabisa tena vichwa kufikiri badala yake wanatumia kuvalia kofia walizopata kutoka kwa CCCCCM
 
Ninamfahamu sana tu

Ninamfahamu kuliko unavyodhani, tangu enzi za kaptura ya khaki tukiwa wadogo na wembamba kama kagame... sio leo tuna vitambi!!! he is good at his work, excellent manager.... committed and bold!! but you must understand kwamba president ni institution and needs alot of merry go rounds ambazo mkumbo hawezi kufika huko with only 4 years remaining

remember rais haandaliwi kama instant coffee!!!
........una mchango mzuri hasa ukiotea mada, maana hapa naona umetunga ya kwako umeachana na mada ya mtoa mada hapa, maana yeye kaongela urais/uenyekiti wa CDM ndio maana amemtaja mh Mbowe kama hatagombea tena na sio Dk Slaa maana hajamaanisha uraisi wa nchi...... ninaanza kupata shida kuamini kwamba JF pia vilaza pia wamepenya
 
Kitila Mkumbo ana upeo mzuri, ni msomi asiye mchoyo wa ufahamu, ni mtumishi wa umma muwajibikaji, unakubali akisema anaipenda tanzania, naamini hana tamaa ya madaraka na hafikirii angalau kwa sasa kugombea urais, kwa maslahi ya taaluma na nchi apate tiketi hatimaye awe waziri, na kadri atakavyotumikia nchi yake atajakuwa rais lakini si ghafla hivi.
Mkuu mawazo na uchambuzi wako ni mzuri usiwe kama "bange" hapo juu. Chochote kinachokuja ghafla bila maandalizi ni Bangi ya kuharibu DIRA yetu ya kukamata dola.
 
wewe mtoa hoja kweli ni bange kama jina lako. Kitila hata ubalozi wa nyumba kumi hafai. yeye abakie kufundisha tu,, siasa na uongozi si vya kila mtu
 
Back
Top Bottom