Dr. Kitila Mkumbo akizungumzia Ubunge wa Afrika ya Mashariki (Video ITV)

Chama cha Magamba kinawapiga vita watu aina yake ndiyo maana wako kwenye chama Makini. Nakushauri jiunge na watu makini kama akina Mkumbo katika harakati za ukombozi.
 
Mkuu angeshuka nondo kama Dr. Kessy angeweza kubadili matokeo. Hivi unadhani CCM woooote hawaipendi CDM? Kuna watu wamo CCM lakini wana mahaba na CDM.

Hata ningekwenda mimi CCM wasingenipigia kura.Siasa za Simba na Yanga hizo.
 
Mkuu angeshuka nondo kama Dr. Kessy angeweza kubadili matokeo. Hivi unadhani CCM woooote hawaipendi CDM? Kuna watu wamo CCM lakini wana mahaba na CDM.

Harrison Mwakyembe ni mmoja wao!nilifurahi juzi wakati anaongea CDM wakawa wanamshangilia!nikaona wanajua ni mwenzao ila yupo kwenye kundi la wapotevu
 
Mkuu angeshuka nondo kama Dr. Kessy angeweza kubadili matokeo. Hivi unadhani CCM woooote hawaipendi CDM? Kuna watu wamo CCM lakini wana mahaba na CDM.

Hata mwenyekiti wao anaifagilia sana Chadema ndiyo maana anazikubali na kuzitekeleza fikra zao.
 
Huyu aendelee tu kishika chaki!!
Sidhani kama ana quality za kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi!!

Magamba endeleen kutafuta mchawi na huyo nepi wenu,kelele tumewaachia nyie mjimalizie wenyewe,kuna wakati wa kupanda na wa kuvuna sasa ni mavuno na baba yenu yuko brasilia nadhani salamu anazipata
 
Dokta anastahili pongezi...majawabu yake juu ya tatizo husika yapo so original...kwamba haiwezekani kupata wawakilishi wa Tanzania bila wananchi kushiriki.
Ndio maana Mwigulu Nchemba wa Iramba Mashariki anaonekana hana amani siku hizi..
 
Back
Top Bottom