Dr. Kikwete atembelea SUA; asema heri mtembea bure kuliko mkaa bure

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
JK bana utajikuta umempenda tu hata kama hutaki...leo alitembea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine(SUA) na kuwaomba menejimenti ya chuo hicho wasisite kumtuma kwingineko duniani kama wana jambo wanahitaji msaada kwani yeye huwa anatembea sana, haha:

"Jamani kama mnalo jambo linawatatiza niambieni tu, mimi natumia ile kanuni ya mbwa ile, naamini heri kutembea bure kuliko kukaa bure...maana ukimwona mbwa anazunguka zunguka tu huko anaweza akaokota hata FUPA, lakini ukikaa tu nyumbani hupati kitu"....hapo kikafatia kicheko cha kutosha:p (Dr.Kikwete akiwa Chuo Kikuu Sokoine leo tarh 20/11/2017)

Source: ITV Habari
 
JK bana utajikuta umempenda tu hata kama hutaki...leo alitembea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine(SUA) na kuwaomba menejimenti ya chuo hicho wasisite kumtuma kwingineko duniani kama wana jambo wanahitaji msaada kwani yeye huwa anatembea sana, haha:

"Jamani kama mnalo jambo linawatatiza niambieni tu, mimi natumia ile kanuni ya mbwa ile, naamini heri kutembea bure kuliko kukaa bure...maana ukimwona mbwa anakimbia kimbia tu hivi bure anaweza akaokota FUPA, lakini ukikaa tu nyumbani hupati kitu"....hapo kikafatia kicheko cha kutosha:p (Dr.Kikwete akiwa Chuo Kikuu Sokoine leo tarh 20/11/2017)

Source: ITV Habari
Hata hivyo sina hamu naye kabisa, ndio katusababishia madhila yote haya
 
JK bana utajikuta umempenda tu hata kama hutaki...leo alitembea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine(SUA) na kuwaomba menejimenti ya chuo hicho wasisite kumtuma kwingineko duniani kama wana jambo wanahitaji msaada kwani yeye huwa anatembea sana, haha:

"Jamani kama mnalo jambo linawatatiza niambieni tu, mimi natumia ile kanuni ya mbwa ile, naamini heri kutembea bure kuliko kukaa bure...maana ukimwona mbwa anakimbia kimbia tu hivi bure anaweza akaokota FUPA, lakini ukikaa tu nyumbani hupati kitu"....hapo kikafatia kicheko cha kutosha:p (Dr.Kikwete akiwa Chuo Kikuu Sokoine leo tarh 20/11/2017)

Source: ITV Habari
Ikimfikia mwenyewe, utasikia hao "wanawashwa washwa!"
 
Back
Top Bottom