Dr Kijazi: Kutakuwa na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka, wakulima chukueni tahadhari!

Wame project hali mbaya ya hewa ambayo itapelekea msimu mbaya wa mavuno, lakini leo hii unaambiwa seriakli haina hela ya kununua mahindi ambayo yapo kwa wakulima......bongolala ni shida aisee.
 
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Dr Kijazi amesema kutakuwepo na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo Wakulima wanapaswa kuchukua tahadhari.

Source: ITV habari
Huu sasa ni mtiani kwa sisi wakulima, tulime nini na kwa wakati gani hasa. Mbona miasha yanakuwa machunguu ? Kusema kilimo cha umwagiliaji bado ni ndoto kabisaaa.
 
1. Tuepuke kuingia gharama ya kuandaa mashamba ili hali mvua itakuwa ya mashaka.

2. Pia iwapo mvua zitanyesha chache basi tupande mbegu za muda mfupi.

3. Kuweka akiba ya chakula kilichopo tusikimalize ktk kucheza wali ngoma na harusi.
Hapa ndipo kilimo biashara kinapokuwa kigumu kwa kutegemea mvua, nilikuwa na mpango wa kulipa heka 20 za mpunga msimu huu sasa laah...kwa statement hii naweza ambulia gunia 3.

Pia niliulizia gharama za kuchimba bwawa nikaambiwa ni 2m. yaani mambo yanakuwa magumu kila upande.
 
Hamna watabiri hapa. Wakiona mawingu watabadili gear na kuwaambia wananchi wahame mabondeni.
 
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Dr Kijazi amesema kutakuwepo na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo Wakulima wanapaswa kuchukua tahadhari.

Source: ITV habari
Hivi kumbe hawa Vijazi wote walijichimbia kwenye Top rank serikalini? Kweli kuna matumbo yamezaa.
 
Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya hali ya hewa Dr Kijazi amesema kutakuwepo na upungufu mkubwa wa mvua za mwisho wa mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi hivyo Wakulima wanapaswa kuchukua tahadhari.

Source: ITV habari
cc waziri wa kilimo. cc mkuu kitengo hifadhi ya chakula.
 
Kumbee!!! Wanadamu wasahaulifu sana aliyeapiza hatotoa chakula cha msaada kwenye ukame ule alikuwa nani??
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ’₯ ... Mvua za Bongo, au Dunia nzima?, huwa zina mzunguuko wa decade moja! ... mwanzomwanzo na mwisho mwa decade huwa kuna mvua nyingi na katikati ya decade huwa kuna ukame!
... historia ya njaa za Bongo: ... 1974-75; 1984-85; 1994-95; 2004-05; 2014-15; ... LET'S WAIT AND SEE?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom