Dr Kigwangwalla una kauli gani juu ya kauli ya Eng. Manyanya?

Wewe unategemea mwanamagamba kama kigwangalla atasema nini? Hizo ndiyo dalili za regime inayokufa. Hata wanachama wake wamefumbwa macho na masikio. Hawaoni wala hawasikii. Ngoja siku ifike watakaposema mimi sikusema.
 
Kutukana siyo tija,Kama ulivyoanisha kwamba sakata la mgomo si la jana wala juzi, sasa tokea wameanza kugoma ndiyo serikali imetimiza yale ambayo wameyaanisha kuhusu vitendea kazi duni? Je migomo yao ndiyo imebweresha huduma za wagonjwa au imeathiri zaidi wagonjwa?

Angalau migomo imeleta tanabahi ya changamoto zilizopo kwa kuzimulika na kusababisha ziwemo katika mijadala ya watu.

Hivi kweli ni sawa kwa wagonjwa kukosa vitanda huko mahospitalini na kuishia kulala sakafuni? Yaani hata vitanda na magodoro tunashindwa kabisa kuhakikisha vipo mahospitalini?

Sasa madaktari wafanye nini ili madai yao yaweze kusikilizwa, kupewa kipaumbele, na hatimaye hali nzima ya sekta ya afya iweze kuboreshwa?
 
Kutukana siyo tija,Kama ulivyoanisha kwamba sakata la mgomo si la jana wala juzi, sasa tokea wameanza kugoma ndiyo serikali imetimiza yale ambayo wameyaanisha kuhusu vitendea kazi duni? Je migomo yao ndiyo imebweresha huduma za wagonjwa au imeathiri zaidi wagonjwa?


Usikurupuke...
Puumbav sio tusi, ndio maana huwezi kuona mods yeyote akithubutu kunipiga Ban...
 
Namheshimu sana Mama RC...naomba nisiseme kitu!

Sawa DR. Lakini kumbuka akufaaye wakati wa dhiki ndio rafiki wa kweli!!! Lakini ninachoendelea kujifunza ni kwamba CHAMA CHA MAPINDUZI SASA hakiendeshwi kwa democrasia, unapoona mtu ambaye ni kiongozi mkubwa kabisa katika jamii anakua muoga kutoa maoni yake ujue kuna watu wanamtisha.
 
wote wanapiga porojo tu,nakujipendekeza.

Natumai U-injinia wake, Ubunge wake na U-RC kaupata kwa kujipendekeza na kujipendekeza kuna gharama mbali mbali zikiwepo zile ambazo sio za heshima. Hivyo basi Mh Dr Kigwa huyo Mama si wa heshima
 
Kutukana siyo tija,Kama ulivyoanisha kwamba sakata la mgomo si la jana wala juzi, sasa tokea wameanza kugoma ndiyo serikali imetimiza yale ambayo wameyaanisha kuhusu vitendea kazi duni? Je migomo yao ndiyo imebweresha huduma za wagonjwa au imeathiri zaidi wagonjwa?
Kweli jf inaweza kupambanua IQ ya mtu. Wewe mjawapo.
 
wote walopata ushindi kwa mashaka na mizengwe pia watachangia kwa mashaka na woga; sipati picha km kauli hii angeitoa Z -Kabwe au mpinzani angetakiwa aombe radhi mara ngapi.
 
Namheshimu sana Mama RC...naomba nisiseme kitu!

Asante mkuu,binafsi nimekuelewa vizuri.
Usije ukawa kama yule aliyeropoka kuhusu kuwauwa wauwaji wa albino, afu kabla hata hatujasahau akaropoka wakati wa mgomo wa pili wa madaktari kuwa Ulimboka sio daktari, afu akaja tena na 'liwalo na liwe' na kuingia mitini na statement aliyoahidi.
Hizi ndizo ishara chache za nyongeza za udhaifu wa kufikiri kwa kutumia uti wa mgongo,reflex!!
 
Namheshimu sana Mama RC...naomba nisiseme kitu!

Dr. Kigwangalla,

Thanks for your prompt response.I beg to differ with you. Kusema kuwa hutaki kusema chochote kuhusu matamshi ya RC na MB Stella Manyanya kwa vile unamuheshimu si sawa Doc, hapa utakuwa hujawatendea haki Madakatari wenzako, Dr. Ulimboka na wewe mwenyewe.

Mimi nasema hivi,liwalo na liwe:Stella Manyanya ameongea ujinga na upuuzi. Hawa ndiyo aina ya viongozi wengi wa CCM tulio nao ambao kufikiri kwao ni kudogo sana. Badala ya kutafuta suluhu au ushauri wa kuleta maridhiano wanazidi kuchochea sakata la mgomo wa Madaktari. Maneno ya Stella Manyanya ya kumfananisha Dr. Ulimboka na Madaktari wenzake kuwa sawa na Hitler ni MATUSI KWA DR.ULIMBOKA NA FANI YOTE YA UDAKTARI! Huyu mama kama mimi ndiyo ningelikuwa Spika au cjui mwenyekiti hiyo jana NINGELIMWAMBIA AFUTE KAULI AU ATOKE NJE YA KIKAO.Hana adabu! Aulizwe katamka hivo kwa vile yeye ni Mhandisi na siyo Daktari? Kama ngelikuwa ni Daktari angeliongea huu uharo wake??

Hayo maneno yangelitamkwa na MB wa upinzani bila shaka angelishikiwa bango lakini kwa vile ni CCM kila kitu ni poa tu! Hiyo si sawa hata kidogo.Kama Dr. Ulimboka na Madaktari wote ni sawa na HITLER,SERIKALI inasimama wapi? Pamoja na lugha za kihuni za huyu mama bila shaka angelieleweka kama angelisema kuwa wote SERIKALI,WALIOMTEKA DR.ULIMBOKA NA KUMTESA HAO NDIYO SAWA NA HITLER ingawa nayo siyo sahihi sana. Hitler killed more than 6 million jews during his life time. How many Tanzanians have died following the Doctors strike??? Ask Stella to give figures!

Dr. Kigwangalla shukru kwamba kwa sasa uko Bungeni,hebu jaribu kufikiri kuwa wewe ndo ungelikuwa Dr. Ulimboka katika mazingira yale,ungelifanyaje!!!Hebu wabunge wa CCM jaribuni kuacha jazba na ushabiki wa kipuuzi maana kiukweli nyie ndiyo mnazidi kukichimbia kaburi chama chenu. Try to think out of the box and come with resolutions and concrete solutions. Try not to be part of the problem but be part of a solution. Msaidieni Rais na Mwenyekiti wenu wa chama vinginevyo mnazidi kummaliza.

Wasalaam.
 
DR. Kigwa. Funguka acha uoga. Ukweli unakuweka kuwa huru ndugu yangu. Kipi unachoogopa sasa?
Dr anaogopa kwenda kinyume na kauli ya chama. Nadhani ile ni kauli na msimamo wa CCM ndio maana yule msema ovyo Mwigulu jana alikuwa anamtetea Stela mpaka mishipa ya shingo inamtoka.
Hata hivyo Kigwa tumekuelewa msimamo wako katika hili.
 
unajua mtu mzima akiongea pumba na ujinga, mwenye busara huwezi kumuumbua ila unakaa kimya kuonyesha kuwa hakutakiwa kuongea hivyo. so nimemuelewa sana Kigwangalla.
 
Huyu Kigwangallah alishawahi kuongoza mgomo wa madaktari akiwa pale MUHAS. Just imagine kama angekuwa yeye amefanyiwa hayo aliyofanyiwa Dr. Ulimboka, halafu mjinga mmoja Stella Manyanya akasema bungeni kuwa alichofanyia Kigwangallah ni sahihi kwasababu Kigwangallah ni sawa na Hitler, kweli ungetoa hiyo statement kuwa unamuheshimu Mama RC. Ama kweli Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ........ Lakini pia kumbuka what goes around ............. Hata wewe Kigwangallah you are not safe at all kama tutaruhusu nchi hii iendeshwe ki-mafia, Next will be you kwanza umeshaonesha viashiria vyote vya kuwaunga mkono your colleagues DRs
 
"Wasomi", "ma-Eng" (kama kweli wamepata usomi au u-eng huo kwa njia halali) wanakatisha tamaa. Sasa kama wao wanafikiri hivi kimgandomgando, je wale akina profesa majimarefu watafikirije? Na huyu huyu ndiye amepewa dhamana ya u-RC- f.u.c.k.i.n:redface:

Huyo mama alikuwa Engineer ila sio engineer twena kwani hana practise ya Engineering tena so ameshakuwa raia wa kawaida kabisa na cheo chake hicho cha kupewa ukuu wa Mkoa na Ubunge wa viti maalumu si inabidi ateme ***** km huo ili aendelee kupata hifadhi? Huyu mvivu kakimbia fani ndo maana anasema amjungu kwani Engineering brain inatumika zaidi kuliko midomo.
 
Namheshimu sana Mama RC...naomba nisiseme kitu!

Woga si heshima Mh. hapa humheshimu ila unamuogopa? kwani huyu mama anachezea uhai wa watu kwa kauli nyepesi sana. Kutoa mtazamo wako juu ya yale mama huyu aliyoyasema hayakuondolei heshima. Heshima kama yako ndio inayoua CCM maasi mengi yanafanyika katika CCM lakini mnabaki kusema manaheshimiana haya sasa sijui angesema kwako sijui ungebaki kimya kwa vile unamheshimu. Mh. KUWA NA MSIMAMO
 
Back
Top Bottom