Dr Kigwangalla: Serikali ilitarajia kujenga vituo vya afya 10,000 hadi sasa imejenga 70 tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Kigwangalla: Serikali ilitarajia kujenga vituo vya afya 10,000 hadi sasa imejenga 70 tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtamile, Jun 14, 2012.

 1. Mtamile

  Mtamile JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 2,800
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Serikali ya ÇCM ilitarajia kujenga vituo vya afya 10000 lakini hadi sasa hivi vilivyojengwa havizidi 70 hayo yamesemwa na dr Kigwangala mbunge wa Nzega(CCM) katika kipindi cha tuongee asubuhi startv je kweli mipango ya serikali ya CCM inatekelezeka kweli?
   
 2. Kijana leo

  Kijana leo JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 2,872
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  ebu tujaribu kuangalia ni ahadi ngp ccm wametoa, kama unakumbukumbu ya ahadi zozote za ccm, weka hapa 2pime utendaji wao
   
 3. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  tafuta ahadi za kikwete utapata natumia simu ningekutafutia..
   
Loading...