Dr. Kigwangalla na mbinu ya CCM kumkata Lowassa

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Katika matamshi mbali mbali Kigwangala ameonekana kuwa mjanja sana,

Ujanja wa Kigwangala ni pale anapotumia mbinu smart kumtafuta jamaa anayetafutwa na kujifanya atafutiki,

Mwaka 2015 Kikwete alionekana akiwashawishi kina Bilali, Pinda na Samweli Sitta wakachukue form za kugombea urais, ishu pekee ilikuwa ni kuyaandaa mazingira ya kunfanya lowassa aridhike endopo Pinda waziri mkuu atakatwa, Bilali makamu wa rais kukatwa na Samweli Sitta spika mstaafu kukatwa, hivyo itapunguza hata attention ya kukatwa kwa Lowassa kama waziri mkuu mstaafu

Hamis Kigwangala kaamua kudirect Magharibi wakati target yake ni mashariki, anayetaftwa ni Nyalandu, Ile wameanza kutuhumiwa wengi kama Kagasheki ili mchujo ukija uwaondoe abaki Nyalandu.

Kigwangala njia hii yaweza kukusaidia lakin pia inaweza kukutia doa.
 
Katika matamshi mbali mbali kigwangala ameonekana kuwa mjanja sana,

Ujanja wa Kigwangala ni pale anapotumia mbinu smart kumtafta jamaa anayetafutwa na kujifanya atafutiki,

Mwaka 2015 Kikwete alionekana akiwashawishi kina Bilali, Pinda na samweli Sitta wakachukue form za kugombea urais, ishu pekee ilikuwa ni kuyaandaa mazingira ya kunfanya lowassa aridhike endopo Pinda waziri mkuu atakatwa, Bilali makamu wa rais kukatwa na Samweli sitta spika mstaafu kukatwa , hivyo itapunguza hata attention ya kukatwa kwa Lowassa kama waziri mkuu mstaafu

Hamis Kigwangala kaamua kudirect Magharibi wakati target yake ni mashariki, anayetaftwa ni Nyalandu, Ile wameanza kutuhumiwa wengi kama Kagasheki ili mchujo ukija uwaondoe abaki Nyalandu,

Kigwangala njia hii yaweza kukusaidia lakin pia inaweza kukutia doa,

Jamaa kama ameokoka kwelikweli, itakuwa nafasi nyngine ya BWANA Mungu kujidhihirisha mbele ya Watanzania kwa matendo yake makuu. Shingo ngumu hizi lazima zivunjwe.
 
Kigwa anatumika.....yanamwisho hayo!! Amemgwaya Hamisi mwenzake wa jina sio au sababu wote mrengo mmoja?? Kweli hujamtaja sababu ni clean? Au kuna agenda kulindana wenye mrengo sawa?? Hilo liko damuni atiii lajulikanaaa!!!!
 
Mwaka 2015 Kikwete alionekana akiwashawishi kina Bilali, Pinda na samweli Sitta wakachukue form za kugombea urais, ishu pekee ilikuwa ni kuyaandaa mazingira ya kunfanya lowassa aridhike endopo Pinda waziri mkuu atakatwa, Bilali makamu wa rais kukatwa na Samweli sitta spika mstaafu kukatwa , hivyo itapunguza hata attention ya kukatwa kwa Lowassa kama waziri mkuu mstaafu
Mkuu Britanicca, umenikumbusha mbali, na hii ni kweli ndivyo walivyopanga mwanzo, kuwashawishi the giants wachukue fumu ili kuwatumia kama vichinjio, na hili ninilizungumza hapa. Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5, Top 3 na ...

Ila muda ulupowadia, wakaogopa kuwa jamaa anaimiliki kuanzia CC, NEC hadi Mkutano Mkuu hivyo dawa pekee ni kuhakikisha hilo jina haliingii hata CC, hivyo wakabadili kanuni, jina halikuingia kabisa na hili ninilisemea hapa Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC ...

Paskali
 
Kabisaaaa naona njia hizi hizi anazitumia Kigwangala
 
Hata sakata la madawa ya kulevya aliyekuwa akitafutwa ni Manji. Wakaona wapite pembeniiii halafu alipopatikana wakamshughulikia vilivyo.
 
Katika matamshi mbali mbali Kigwangala ameonekana kuwa mjanja sana,

Ujanja wa Kigwangala ni pale anapotumia mbinu smart kumtafuta jamaa anayetafutwa na kujifanya atafutiki,
...
Hamis Kigwangala kaamua kudirect Magharibi wakati target yake ni mashariki, anayetaftwa ni Nyalandu, Ile wameanza kutuhumiwa wengi kama Kagasheki ili mchujo ukija uwaondoe abaki Nyalandu.

Kigwangala njia hii yaweza kukusaidia lakin pia inaweza kukutia doa.

britanicca, hoja yako hakika ni fikirishi, hongera sana. Lakini, ukumbuke kwamba moja ya malengo makuu ya Serikali iliyoko madarakani ni kshinda vita ya kiuchumi kwa kishindo, iwe jua kali au masika. Vita hiyo inahitaji mbinu wazi na fichi. Na maeneo walikojificha maadui, wa hiyo vita, ni pamoja na maliasili na utalii.

Tusubiri, na inawezekana hoja yako na hiyo tahadhari zikawa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom