Dr. Kigwangalla na mbinu ya CCM kumkata Lowassa

britanicca, hoja yako hakika ni fikirishi, hongera sana. Lakini, ukumbuke kwamba moja ya malengo makuu ya Serikali iliyoko madarakani ni kshinda vita ya kiuchumi kwa kishindo, iwe jua kali au masika. Vita hiyo inahitaji mbinu wazi na fichi. Na maeneo walikojificha maadui, wa hiyo vita, ni pamoja na maliasili na utalii.

Tusubiri, na inawezekana hoja yako na hiyo tahadhari zikawa kweli.
Kabisa nimekupata mkuu
 
Kufanya kazi kimpeni-kampeni kumezidi sasa. Wafanye kazi kwa weledi, haki na misingi iliyowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi.

Ndio maana mara nyingine inakuwa vigumu kuiunga Serikali mkono, things are too diluted.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom