britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Katika matamshi mbali mbali Kigwangala ameonekana kuwa mjanja sana,
Ujanja wa Kigwangala ni pale anapotumia mbinu smart kumtafuta jamaa anayetafutwa na kujifanya atafutiki,
Mwaka 2015 Kikwete alionekana akiwashawishi kina Bilali, Pinda na Samweli Sitta wakachukue form za kugombea urais, ishu pekee ilikuwa ni kuyaandaa mazingira ya kunfanya lowassa aridhike endopo Pinda waziri mkuu atakatwa, Bilali makamu wa rais kukatwa na Samweli Sitta spika mstaafu kukatwa, hivyo itapunguza hata attention ya kukatwa kwa Lowassa kama waziri mkuu mstaafu
Hamis Kigwangala kaamua kudirect Magharibi wakati target yake ni mashariki, anayetaftwa ni Nyalandu, Ile wameanza kutuhumiwa wengi kama Kagasheki ili mchujo ukija uwaondoe abaki Nyalandu.
Kigwangala njia hii yaweza kukusaidia lakin pia inaweza kukutia doa.