Dr. Kigwangalla anyang'anywa bastola na polisi nae atishia kujiuzulu ubunge!

Umevimbiwa KIHEMBE wewe.

Sasa kama Bashe alishinda kwenye uchaguzi wa CCM, na wakamuondoa, Seleli aliyekuwa wa pili wakampiga chini na mwisho wakamchukua mtu wa tatu, hapa WANYAMWEZI na BASHE wanaingia vipi? Msula eve....
Hivi na wewe siku hizi upo kwenye kundi la mabwege? na Adena Rage kuwa mbunge wa Tabora mjini unataka kuniambia hakuna Mnyamwezi mwenye sifa hizo mpaka mbunge awe Al Shabaab?
 
Ukisikia yameanza MATUSI, ujuwe imem-TOUCH. Sikukosea kusema MSULA EVE..... Heheheheheeeee......

Wanyamwezi bana na Wasomali? Mmoja walimchagua akawa hadi NAIBU WAZIRI WA ULINZI.

Hii Minyamwezi, yaani imekosa kabisa Wanyamwezi kuwa Wabunge hadi kila siku iwe inalilia Wasomali?

Abdulrahman-Kinana.jpg

KINANA Mbunge wa zamani wa Tabora MJINI.

Sasa hivi SIKONGE, mbunge wetu ni ABOOD....... Na yeye siyo Mnyamwezi pia. Hii Minyamwezi bana.
jk-moro.jpg



Kweli sasa mie naingia kwenye kundi la Mabwege.
Hivi na wewe siku hizi upo kwenye kundi la mabwege? na Adena Rage kuwa mbunge wa Tabora mjini unataka kuniambia hakuna Mnyamwezi mwenye sifa hizo mpaka mbunge awe Al Shabaab?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom