Dr. Kigwangalla anyang'anywa bastola na polisi nae atishia kujiuzulu ubunge!

Kwa kweli Kigwangwallah ni sawa na pweza aliyeingia mtoni...
Sio kila maji yanamfaa kila samaki...
 
Huyu Bashe ndo yule Msomali?

Sasa yanakuja ya Kenya. Tunakuwa na idadi kubwa ya wageni waliojigeuza raia wema wa nchi hii. Kenya walijidai ni wenzao, mmoja akawa mkuu wa Polisi. Yako wapi leo? Hao hao ndo wamegeuka kuwa marafiki wa Al shabaab na kuwasumbua ndani ya nchi.

Hawa wasomali wetu wanajipenyeza ktk siasa ni hatari inayojengwa na CCM. Wahindi, wasomali, wairani, nk. wote wanaingia CCM, why? Kama wanapenda siasa mbona hatuwaoni CUF, CDM,TLP, n.k? wengine walishapewa hata uwaziri kwa kudhani eti wamesahau mizizi yao ya Somalia. Ni kosa kama tulivyowaamini Wanyarwanda. Wako wapi leo hii?
 
Haya yangekuwa yanafanywa na wabunge wa chadema hapa baba wa taifa mzee makani wangepigiwa simu huko waliko kama mtandao unakamata!

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums
 
Kama ndani ya ccm uchaguzzi ni vita kiasi hiki? Wao kwa wao inakuwaje wanapo pambana na vyama vya upinzani?,,
 
Siasa za tanzania ni siasa kichaa na pengine unaweza kuwa mwenda wazimu ukifuatilia au yakikukuta pengine ni tuhuma za kutungwa au ni ukweli kwa kifupi naomba haki itendeke ili ukweli ufahamike
 
Ebu niulize wana Nzega huyu jamaa Dr. kigwangala ameishawahi kukaa OPD au kupita wodini tangu apate ubunge?
 
Umevimbiwa KIHEMBE wewe.

Sasa kama Bashe alishinda kwenye uchaguzi wa CCM, na wakamuondoa, Seleli aliyekuwa wa pili wakampiga chini na mwisho wakamchukua mtu wa tatu, hapa WANYAMWEZI na BASHE wanaingia vipi? Msula eve....
Licha ya kwamba wote wawili ni Magamba lakini ndugu zangu wanyamwezi mnatia aibu sana kwa kukubali siasa zenu za CCM zimilikiwe na huyu Al Shabaab Hussein Bashe, huyu nitaendelea kumchukia kwa sababu yeye ndio source ya kumpoteza mpiganaji Lucas Selii.
Narudia tena Wanyamwezi mnatia aibu.
 
Namshangaa sana huyu Dr angetakiwa kuwa wodin hv sasa badala yake anaendelea kurumbana na mtu kama bashe kitu ambacho hakitusaidii sisi wakazi wa Nzega hata kidogo,

Usimshangae peke yake mshangae pia Dr. Hussein Mwinyi, na wengine wengi waliotelekeza kazi zao kutafuta hali bora ya maisha kwa kuingia siasa na kuibia watanzania kwa sera kama hizi za kuvuna mabilioni kwa kutishiana bastola tu huku wana Nzega wakiwa hawana hata maji
 
Kwenye report ya upelelezi wa polisi kutakuwa na paragraph inayohusu kuhusika kwa Chadema kwenye hili na kutakuwa na common words M4C nyingi nyingi zikijirudia...
Bahati mbaya sana hiyo report wananchi hatutaipata itaishia kambi za magamba...
Way forward itakuwa ni kuzuiwa further mikutano ya CDM...
 
sasa ubunge na bastola vinaendanaje?? ina maana huwezi kuwa mbunge hadi uwe na bastola?
 
uyu daktari ana shida sana,arudi tu hospitali au NGO
 
Hawezi kujiuzulu kama anakubaliana na CCM. Maana itakuwa ni kuzira! Na kujiuzulu kwa kuzira siyo kwa kupewa pongeza. Aamue kuikataa CCM na mipango yake halafu ajiuzulu. Aje kwenye mwanga atashinda!

Mkuu MMJ nakukatalia kuhusu HK kuja kwenye mwanga ili agombee ubunge.He is very dynamic hatuwezi kukaribisha shibuda 2
 
Hawezi kujiuzulu kama anakubaliana na CCM. Maana itakuwa ni kuzira! Na kujiuzulu kwa kuzira siyo kwa kupewa pongeza. Aamue kuikataa CCM na mipango yake halafu ajiuzulu. Aje kwenye mwanga atashinda!
MMM, unaonekana humjui viruzi HK

hastahili kabisa kuelekea kwenye mwanga, ni wale wasioaminika kabisa na egocentric kinoma
 
Nikijaribu kusoma alama za nyakati sina budi kuhitimisha kuwa Mr. Kingwangwala atakuwa mbunge for 1 term only. his only chance ya kuweza kuendelea na ubunge ni kuja kuhamia CDM. Anaonekana hana imani na uongozi wa CCM Wilaya na amekataa kujieleza mbele ya vikao vya CCM Wilaya kwakuwa anadai vikao hivyo vinaongozwa na viongozi wanaompendelea Bashe. Kama hivyo ndivyo aonavyo, basi most likely jina lake halitapitishwa kugombea tena ubunge kwa ticket ya CCM 2015. Besides, Kingwangwala ni very light weight kwenye siasa za CCM Nzenga. Katika Uchaguzi uliompa ubunge hakustahili kushinda kabisa kabisa kwakuwa alikuwa mshindi wa tatu. Ni dhahiri kuwa haki ikifuatwa bila hila mgombea ubunge wa CCM atakuja kuwa Hussein Bashe au kaka Seleli.

Ukiangalia hayo mambo yote unaweza kuhitimisha kwamba Mr. Kingwangwala is going to be a one hit wonder.
 
Dr ni mbunge kwa upendeleo hivyo asijeakajaribu kujiondoa atakuwa amejiondoa katika siasa za Tz.
 
Nasikia Bashe kamkamata kila mtu huko Nzega, Kigwangallah ningekushauri ujiuzulu, uendelee na ujasiriamali au taaluma yako, vita na Bashe sidhani kama utashinda.

Umenena mkuu. Bashe ana back up na mafisadi wote hasa RA na EL!!! No baba zao huyu!!! Yuko kambi ya EL na watafanya liwezekanavyo ili awe mbunge later na kumchomeka Wizara nyeti!!! Andika tarehe ya leo kama tukijaliwa yatatimia 2015 kama kambi ya EL itashika nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom