Dr kigangwalla nenda kamuone kaka yako ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr kigangwalla nenda kamuone kaka yako ulimboka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by meningitis, Jun 28, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  umesoma nae darasa moja
  umeongoza nae MAT
  wewe ni daktari mwenzake
  wewe ni mjumbe wa kamati ya huduma za jamii
  uliunga mkono harakati alizoanzisha ulimboka

  mwisho kabisa usiogope kupoteza jimbo au uhai wako!
   
 2. g

  gilguy Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S tongue::A S confused::tonguez::dance::sad::brushteeth::sing::A S-eek:
   
 3. j

  jigoku JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Tatizo la Kigwangala ni unafiki.sijui kama ataliona hilo
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  atauchuna kama hajasikia nini kimetokea...
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Namwamini Kigwangala ataenda tu jamaa yake sana yule ukuacha mambo ya siasa
   
 6. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Bungeni jana katoa kauli yake kupnga taratbu na njia za wanazo zichukua dhdi ya mgomo wa madaktari. Na alipokuwa akitoa tamko la kupgwa kwa Dr ULI.
   
Loading...