DR.KEBWE Uko wapi kutetea wafugaji Serengeti,je diwani wa Natta nani kamtaja?

ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,215
327
Ndugu zangu kebwe ni mbunge wetu wa mugumu -serengeti.

Kiukweli sijamsikia akisema jambo bungeni dhidi ya wafugaji leo hii.

Kiukweli nimeshuhudia kwa macho angu wasukuma walivo fanyiwa ktk mkoa wa mara na Serengeti.

Ng'ombe walikamatwa na kukaa uwanja wa natta shule ya msingi kwa siku 7 hadi mifugo ikakonda.

Wakulima hawa walitozwa hadi laki 1 kwa mfugo.

Nashangaa sana kuwa kimiya hivi..... nahisi ni muhusika mkuu wa tendo hili na nawasihi wana jimbo wenzangu tumtupe mjinga huyu.

Asante nawasilisha asante.
 
Dkt. Kebwe ameshapoteza ubunge kabla ya uchaguzi. Hata jimboni kwenyewe hafiki anajificha Mwanza, Dodoma na Musoma.
Bora hata asizungumze kwakuwa akiongea ataishia kutuaibisha tu wanaserengeti.
Tunaendelea kujiimarisha ili kuhakikisha kwamba 2015 tunachukua ubunge pamoja na halmashauri ya wilaya na mamlaka ya mji mdogo wa Mugumu.
 
Back
Top Bottom