Dr kawambwa sikia kilio cha mzumbe university dhidi ya bodi ya mikopo.

basa

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
252
383
tarehe 12 dec 2012, zaidi ya miezi miwili tangu mwaka wa masomo uanze,wanafunzi mwaka wa pili tuliokata tamaa na kuzoea kupiga pasi(lampard) ndefu tumeingiziwa boom pia na wanafunzi baadhi mwaka wa tatu waliofield wameingiziwa pesa zao, inhali wenzetu vyuo vingine wanazaidi ya wiki mbili tangu waingiziwe awamu ya piil, lakini kinachoumiza zaidi hata pesa yenyewe ilingizwa baada ya tishio la wanafunzi lilopelekea tatizo letu kumfikia waziri wa elimu na baada ya saa chache tukaingiziwa pesa ,lakini nyuma ya panzia kunamchezo mchafu unachezwa na baadhi ya maofisa wandamizi wa bodi kwani walitusainisha pesa kupitia afisa mikopo wa chuo toka tar 05/12 wakijua tunasiku chache kwenda likizo, cha ajabu zaidi ya wiki ikakatika mpaka hiyo jaana mara baada ya tatizo hilo kufikishwa kwa waziri ndo pesa ikaingizwa... inhali dada zetu wamejiuza, watu wameishi kwa kula mihogo na maji ya kuchemshwa kwa zaidi ya miezi miwili na hata wengine wameshindwa kufanya usajiri mpaka hivi sasa.., Baada ya kikao cha kuweka chinikizo wanafunzi tumeazimia kwa pamoja, Mosi tupewe ripoti ambayo itaeleza chanzo cha tatizo hilo, Pili wale wote waliohusika na wakasababisha hili suala liwe hili wanachukuliwa hatua na wanawajibishwa na ifanywe transparent , Tatu na mwisho ndugu waziri tunaomba ulipatie ufumbuzi wa kudumu tatizo hili kwa chuo cha mzumbe kwani limeshakuwa sugu na kujiludia kila mwaka
 
poleni sana ndugu yangu ila unatakiwa kujua, there is no simple solution for Tanzanians student's problems on loan's issue....wonderful enough serikali inaprovide simple solution always.
 
kimsingi tunatambua hilo, lakini itz too much for mzumbe na hii nadhani n kwa sababu alwayz tunaitwa kondoo, hebu fikiri mchakato mzuma wa malipo ulikamilika hadi tukasainishwa lakini ikawa ngumu kufanywa transanction ya cheaque tu na maofisa wa bodi benki inachukua zaidi ya wiki mpaka wanapata shinikizo toka kwa waziri ndo wanaingiza...na hili si mara ya kwanza kuhappen ni miaka yote linatokea,.. na binafsi pia natambua kuwa sometimes mikopo inaweza kuchelewa kutokana na sababu zinazokuwa nje ya uwezo wa bodi, lakini suala kama hili haliingii akilini coz vyuo vyote walipata on time y for mu? na ikumbukwe wenzetu walikuwa tayari wanapata robo ya pili sisi hata ya kwanza ilkuwa bado lakini still wao wakawaishiwa ,isitoshe tulishafanya hata kongamano na hao bodi ya mikopo kuwaeleza changamoto zetu zinazosababishwa na uzembe kama huu lakini bado wamerudia kufanya uzembe ka huu kwenye wakati mgumu mzaidi walionao wanafunzi ....Hii hali haivumiliki kimsingi,,... DR KAWAMBWA CHUKUA HATUA KA;LI DHIDI YA HUU UZEMBE.
 
Sisi wa verification kwa SUA hatujapata ata sumni na hatujui tutasain lin,wenze2 majuz wamesain bum la2.Bodi wamesha2pga kalenda vyakutosha,hal inazd kuwa mbaya.Wanamzumbe 2peni ways possible jins ya kufkisha malalamiko ye2 wizarani
 
poleni sana ndugu zangu , nakumbuka wakati wa kongamano la bodi ya mikopo hapa mu university wazir wa mikopo toka sua alikuwepo, xo awasiliane tu na muso atapewa mawasiliano ya wazir dhen mtamface direct polen sana , lakini zaidi ndugu zangu yatupasa kwa pamoja tuungane kupinga huu urasimu kwan sauti ya wangu ni ishara ya ukombozi...
 
Thanks man.Tucpocmama leo kwa pa1 km vjana kuondoa urasim huu wa bodi ya mikopo,madogo watapata tabu sana cku za uson.
 
Back
Top Bottom