Dr. Kawambwa na mimba za vyuo vikuu

fikramakini

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
247
60
Habari nilizosikia Clouds FM leo zimenipa utata kweli. Eti Dr. Shukuru kawambwa, waziri mwenye dhamana ya elimu Tanzania anasema mimba za wanafunzi wa vyuo vikuu zinashusha kiwango cha elimu?
 
Haki ya Mungu, this is very low from his excellence, hivi huyu ndie alieyepiga magoti akiomba kura.....?
 
Hata Mukandala anajua kuwa chuo kikuu wanaenda watu wazima. Ndio maana katika wiki ya kuwakaribisha wanachuo wapya huwaambia kuwa chuo kikuu si kusoma tu, kutafuta wenza pia. Pia huwaambia kuwa zipo kondom za bure hivyo wajikinge wenyewe. Udsm ni mfano tu. Waziri ajue kuwa vyuo vikuu wanasoma watu wazima
 
Habari nilizosikia Clouds FM leo zimenipa utata kweli. Eti Dr. Shukuru kawambwa, waziri mwenye dhamana ya elimu Tanzania anasema mimba za wanafunzi wa vyuo vikuu zinashusha kiwango cha elimu?

Huyu Dr wa wapi asiyejua kuwa chuo kikuu si lazima mtu amalize kama hana uwezo. Ndiyo maana kuna Supp na Discontinuation. Watu wazima wanajua wanachofanya na kwa taarifa yake tu ni kwamba wengi waendau chuo kikuu huwa wanajua ni nini kilichowapeleka hata kama watapata mimba. Huwezi kuzuia watu kuwa na wenza kwenye level ya chuo kikuu unless wewe mwenyewe si riziki.
 
Kawambwa is right. mimba ni kweli zina athiri kiwango cha elimu. That it is not Kawambwa's business, that one we can discuss!!
 
baada ya kutafakari madudu mengine yanayosababisha elimu kushuka, uhaba wa MALECTURES, yeye angalia vi2, ambavyo havisababishi hata elimu kushuka, binafsi mi siami kama mimba za vyuo vikuu husababisha ELIMU KUSHUKA
 
Kwani waziri kakosea?

The question is, zinashusha viwango kutoka wapi?

Huwezi kushusha viwango vilivyo rock bottom.

Kabla ya kuanza na controversial issues kama hizi, angeweza kuanza na vitu ambavyo anaweza kuvifanyia kazi.

Au anataka kupiga marufuku mimba vyuoni?
 
Huyu Dr wa wapi asiyejua kuwa chuo kikuu si lazima mtu amalize kama hana uwezo. Ndiyo maana kuna Supp na Discontinuation. Watu wazima wanajua wanachofanya na kwa taarifa yake tu ni kwamba wengi waendau chuo kikuu huwa wanajua ni nini kilichowapeleka hata kama watapata mimba. Huwezi kuzuia watu kuwa na wenza kwenye level ya chuo kikuu unless wewe mwenyewe si riziki.

Waziri wapi kazuwia watu kuwa na wenza?

Yeye ka state fact tu kuwa mimba zinashusha kiwango hajamwambia mtu asiwe na mwenza

Sawa na ukiambiwa Ukimwi unaua hakuna anaekwambia usiwe na mwenza
 
ametoa takwimu ni mimba ngapi zintungwa au kuchomolewa na hao wasomi . Na ni kivipi zinaathiri.

Au ana refer yule waziri mwenzake aliyesema alidanganywa na fataki akiwa Chuo kikuu.

yule mama alinichekesha. Dada wa chuo kikuu anasema ka dnganywa na fataki.
 
Mi binafsi sioni kama hiyo ni tatizo. Watu tumesoma na mimba chuoni na bado tukatoka na ma gpa ya kufa mtu na wasio na watoto wala mimba walikuwa wanakamatwa kwa sana tu.

I think hii inatokana na uwezo wa mtu binafsi na wala haisababishwi na mimba.
 
The question is, zinashusha viwango kutoka wapi?

Huwezi kushusha viwango vilivyo rock bottom.

Kabla ya kuanza na controversial issues kama hizi, angeweza kuanza na vitu ambavyo anaweza kuvifanyia kazi.

Au anataka kupiga marufuku mimba vyuoni?

Hawezi kupiga marufuku mimba chuo kikuu

Kutoa ushauri pia ni moja ya anayoweza kutenda.

Kuna watu ambao wakiwa wajawazito wanakuwa hawajiwezi. Fikiria kama hapo mhandisi unatakiwa ukasimamie zege!

Anajua hali halisi ya facilities chuoni, ukisha jifungua hakuna vituo vya baby-care vya kutosha.

Anajua mkopo wanaotoa serikali haumtoshi mwanafunzi seuze awe na mtoto.
 
ametoa takwimu ni mimba ngapi zintungwa au kuchomolewa na hao wasomi . Na ni kivipi zinaathiri.

Au ana refer yule waziri mwenzake aliyesema alidanganywa na fataki akiwa Chuo kikuu.

yule mama alinichekesha. Dada wa chuo kikuu anasema ka dnganywa na fataki.

Aa yule alipata Ph.d kwa hiyo ilikuwa kheri kwake kuchakachuliwa au?!
 
Kwa wakati huu tutasikia memgi kutoka kwa hawa mawaziri na mengi yatakuwa madudu kama haya maana kila waziri atataka aonekane kuwa ni mchapakazi.
 
tatizo hatujui tunaongea na watu wa aina gani. but what i believe anayeunga mkono hoja ya dr kawamba nadhani elimu yake haizidi kidato cha sita! chuoni mtu unaruhusiwa kufunga ndoa, unaweza ukaahirisha mwaka ukaendelea mwaka mwingine, unaweza kuahirisha hata somo moja kwenye mtihani ukalirudia wakati mwingine. kuna famila ziko chuoni, i mean baba, mama na mtoto. mimi nakumbuka nimesoma b.com udsm alikuwepo mama na mtoto. hizi fikira zinatoka wapi? tell us precisely the effects of mimba kwenye vyuo
 
Wapi waziri kasema si ruhusa mtu kuolewa au kuwa na familia chuo kikuu?

Heck, wapi kasema watu wasipate mimba chuo kikuu? (kwa mujibu wa thread)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom