fikramakini
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 247
- 60
Habari nilizosikia Clouds FM leo zimenipa utata kweli. Eti Dr. Shukuru kawambwa, waziri mwenye dhamana ya elimu Tanzania anasema mimba za wanafunzi wa vyuo vikuu zinashusha kiwango cha elimu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari nilizosikia Clouds FM leo zimenipa utata kweli. Eti Dr. Shukuru kawambwa, waziri mwenye dhamana ya elimu Tanzania anasema mimba za wanafunzi wa vyuo vikuu zinashusha kiwango cha elimu?
Kwani waziri kakosea?
Huyu Dr wa wapi asiyejua kuwa chuo kikuu si lazima mtu amalize kama hana uwezo. Ndiyo maana kuna Supp na Discontinuation. Watu wazima wanajua wanachofanya na kwa taarifa yake tu ni kwamba wengi waendau chuo kikuu huwa wanajua ni nini kilichowapeleka hata kama watapata mimba. Huwezi kuzuia watu kuwa na wenza kwenye level ya chuo kikuu unless wewe mwenyewe si riziki.
The question is, zinashusha viwango kutoka wapi?
Huwezi kushusha viwango vilivyo rock bottom.
Kabla ya kuanza na controversial issues kama hizi, angeweza kuanza na vitu ambavyo anaweza kuvifanyia kazi.
Au anataka kupiga marufuku mimba vyuoni?
Ndio! Hujui chuo kuna watu wanasoma wameolewa?Kwani waziri kakosea?
ametoa takwimu ni mimba ngapi zintungwa au kuchomolewa na hao wasomi . Na ni kivipi zinaathiri.
Au ana refer yule waziri mwenzake aliyesema alidanganywa na fataki akiwa Chuo kikuu.
yule mama alinichekesha. Dada wa chuo kikuu anasema ka dnganywa na fataki.
Ndio! Hujui chuo kuna watu wanasoma wameolewa?
tatizo hatujui tunaongea na watu wa aina gani. but what i believe anayeunga mkono hoja ya dr kawamba nadhani elimu yake haizidi kidato cha sita! chuoni mtu unaruhusiwa kufunga ndoa, unaweza ukaahirisha mwaka ukaendelea mwaka mwingine, unaweza kuahirisha hata somo moja kwenye mtihani ukalirudia wakati mwingine. kuna famila ziko chuoni, i mean baba, mama na mtoto. mimi nakumbuka nimesoma b.com udsm alikuwepo mama na mtoto. hizi fikira zinatoka wapi? tell us precisely the effects of mimba kwenye vyuo