Dr. Kawambwa iambie bodi, na Udom

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
Tafadhali sana kiongozi wa sekta ya elimu

Wanafuzni so sote wenye uwezo kutafuta ada tulipe ili tupewe vyeti, tunakuomba, kwa vile wewe

ulitangaza na sasa utangaze tupewe vyeti vyetu UDOM, ili tukatafute kazi, ama kujiendeleza.

Tumekubali hatujasaini vitabu elimu tumepata, na si kweli ama hata kama ulielezwa kukataa kwetu kusaini

tusamehe tupewe vyeti vya shahada zetu. Wengine ada imekuwa ngumu kuipata, milioni kwangu ni ngumu

Mh Kawambwa.

ndimu mwanenu
 
bodi watatukata tukipat UJIRA WETU huko tuendako, tusaidieni, kama mkulu huingii humu watu wako wakupenyezee

kilio hiki, tumejaa, hatusogelei chimwaga, hatuna ada ya kukomboa vyeti, bodi itatukata, mbona benki, na sakkos

zinakopesha sisi tunakosa gani kwa mungu?

tusaidieni
 
Mnaonewa hadi huruma UDOM ingekuwa Uarabuni jengo moja la utawala lingeshashushwa na bomu la kujilipua.
 
Umemaliza mwaka gani shehe wangu?maana hadi unatia huruma..
 
Back
Top Bottom