Dr. Kasoga wa UDSM Economics Dept

Kichwa

Senior Member
Mar 15, 2007
118
7
Alitimuliwa pamoja na Baregu na kanyimwa haki zote za msingi kama mwajiriwa kama mafao etc. Kweli inasikitisha kwa hali inayoendelea hapo UDSM. Inahisiwa kuwa alishiriki kwenye mgomo wa wanafunzi ule uliopita.

Naililia elimu ya taifa hili kwa vile imechanganywa na siasa.
 
Siasa hizi!,,zinapoingizwa bila mpango maalum, na kwa fitna kwenye Elimu matokeo yake ni kama kutia chumvi kwenye togwa...hainyweki tena!

Sasa resourse heads kama hizo tajwa zinatupwa kwa malengo ya siasa ni uwendawazimu!
 
Huyu bwana mdomo ulimponza. Unajua alipokuwa mwenyekiti wa serikali za mtaa hapo udsm alijiona kama Kikwete akasahau kuwa na yeye ni mwajiriwa kiasi alifika mahali na kumwambia Vc kuwa yeye kama mwenyekiti ni boss wake. Hivyo wakati wa mgomo wa wanafunzi alimfuata Vc na kumgombeza kama mtoto eti kwa nini anakaa ofisini wakati wanafunzi wamegoma.Vc alipokaa kimya akaendelea kumwuuliza kama anajua anazungumza na boss wake yaani mwenyekiti wa serikali za mtaa? Ndo maana hata hakuruhusiwa kugombea tena uenyekiti.
 
VC wa UD kwa kweli anainajisi taaluma pamoja na wadhifa wake.

Lakini pia najiuliza senate members wanawezaje kukubali hayo anayoyafanya? Au kuna details za maamuzi yake ambazo hatuzifahamu? Ingawa ukiwa chuoni ni nadra kukutana na mwana taaluma anayesifu uongozi wake.
 
Jamani mimi sijaelewa vizuri mwanzo wa habari hii. kwani chanzo cha habari yote ni nini naomba mwenye full details anieleweshe vizuri.
 
VC wa UD kwa kweli anainajisi taaluma pamoja na wadhifa wake..

Ndiyo matatizo ya VC mwanasiasa. Watamkumbuka sana VC wa Mwinyi (enginer Luhanga). He was strong (and relatively difficult to manipulate), but carefuly and with humility.
 
VC wa UD kwa kweli anainajisi taaluma pamoja na wadhifa wake.

Tatizo la huyu jamaa ni mwanasiasa wa REDET. Ila kwa upande mwingine kuhusu Kasoga huenda kuna more than kushiriki mgomo. Huyu jamaa alinifundisha part moja ya Microeconomics pale UD kwa kweli sikuwahi kumuelewa hata siku moja alikuwa anafundisha nini japo overall nikuja pata A.

Kama angekuwa anafundisha yeye course nzima basi nafikiri wengi tungerudi Sept Conference. Pia inasemekana alikuwa na sifa ingine ya kupenda ngono kutoka kwa wanafunzi. So lets put all options on the table kuhusu kufukuzwa kwake.
 
Huyu bwana ninamfahamu wakati akisoma Azania Secondary mwaka 1966 hadi 1969. Alikuwa Mwenyekiti wa TYL (TANU Youth League) enzi zile Balozi Christopher Liundi alikuwa Katibu Mkuu wa Vijana. Kasoga tangu shule was very controversial ndipo alipojipa jina la Lenin kumuenzi Lenin Muasisi wa Communist Party ya USSR.

He was not a good Chairman. Sisi tuliokuwa wanafunzi pale na wanachama tukamfukuza uanachama kwa kauli moja na makao makuu ya Vijana wakaafiki. Tukachagua Mwenyekiti mwingine.Tangu shule alikuwa anapenda migogoro na kugawa watu anaowaongoza.

His academic performance was not that excellent. I lost touch with him until recently namuona kwenye media eti Dr na Lecturer. Lakini baadae nikaambiwa Phd yake ya Marekani. Sikushangaa.Hayo yaliyomfika siyajui sawa sawa. Lakini mafao kama anastahili kwa nini asilipwe?
 
Kwani wewe unaona PhD ya marekani ni feki kuliko PhD ya Udsm.? Labda sikukupata vizuri.Naomba natanguliza samahani.
 
Huyu bwana ninamfahamu wakati akisoma Azania Secondary mwaka 1966 hadi 1969. Alikuwa Mwenyekiti wa TYL (TANU Youth League) enzi zile Balozi Christopher Liundi alikuwa Katibu Mkuu wa Vijana. Kasoga tangu shule was very controversial ndipo alipojipa jina la Lenin kumuenzi Lenin Muasisi wa Communist Party ya USSR.

He was not a good Chairman. Sisi tuliokuwa wanafunzi pale na wanachama tukamfukuza uanachama kwa kauli moja na makao makuu ya Vijana wakaafiki. Tukachagua Mwenyekiti mwingine.Tangu shule alikuwa anapenda migogoro na kugawa watu anaowaongoza.

His academic performance was not that excellent. I lost touch with him until recently namuona kwenye media eti Dr na Lecturer. Lakini baadae nikaambiwa Phd yake ya Marekani. Sikushangaa.Hayo yaliyomfika siyajui sawa sawa. Lakini mafao kama anastahili kwa nini asilipwe?

unaweza kulinganisha Ph.D ya UDSM na USA ( nusu ya walimu wa Ph.D hapo UDSM wamechukulia uko USA.
 
Kuhusu VC wa Udsm,me naomba tupitie kwanza Mchakato ulimfikisha hapo kwenye huo u-VC!!maana mnaweza andika mengi kumbe majibu yapo straight foward!!
 
Tatizo la huyu jamaa ni mwanasiasa wa REDET. Ila kwa upande mwingine kuhusu Kasoga huenda kuna more than kushiriki mgomo. Huyu jamaa alinifundisha part moja ya Microeconomics pale UD kwa kweli sikuwahi kumuelewa hata siku moja alikuwa anafundisha nini japo overall nikuja pata A.

Kama angekuwa anafundisha yeye course nzima basi nafikiri wengi tungerudi Sept Conference. Pia inasemekana alikuwa na sifa ingine ya kupenda ngono kutoka kwa wanafunzi. So lets put all options on the table kuhusu kufukuzwa kwake.

Kutokuelewa ni relative term linahusisha mtoaji na mpokeaji ulikuwa humwelewi au mlikuwa hamwelewi inawezekana wenzako walikuwa wanamwelewa vizuri
 
Tatizo la huyu jamaa ni mwanasiasa wa REDET. Ila kwa upande mwingine kuhusu Kasoga huenda kuna more than kushiriki mgomo. Huyu jamaa alinifundisha part moja ya Microeconomics pale UD kwa kweli sikuwahi kumuelewa hata siku moja alikuwa anafundisha nini japo overall nikuja pata A.

Kama angekuwa anafundisha yeye course nzima basi nafikiri wengi tungerudi Sept Conference. Pia inasemekana alikuwa na sifa ingine ya kupenda ngono kutoka kwa wanafunzi. So lets put all options on the table kuhusu kufukuzwa kwake.

Duh mkuu..sasa wewe mbona ndo unatuogopesha? Kama umekabidhiwa kitengo kama cha kufanya maamuzi ya uchumi..si tutakwenda na maji? Maana kama ulivyosema..hukuwahi kumuelewa mwalimu wako wa somo la uchumi. Duh...bongo jamani.......mwanafunzi anapata A na darasani hakuambulia chochote! (na mind you hapo ni University!)...Safari ni ndefu!
 
hahahaha duh jamaa ni noma,hakumuelewa mwalimu halafu akapiga banda!!Lakini ameweka ka excuse eti huyo mwalimu hakufundisha kozi yote...
 
Back
Top Bottom