Dr. Kagasheki: Mwanzoni nilipomsikia Rais akitamka vile nilishituka, lakini baada ya kusikia mahojiano ya BBC na mijadala iliyofuatia sasa nimeamini

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,203
23,020
Self-explanatory....sina cha kuongeza.

Na wewe kama huna cha kuongeza, pita kimya tu.

1151839
 
Anaewaponza, asitetewe kinafiki, na tukiendelee hivi,basi bwana yule atatuse sana!!

Kinachowashinda hawa mabwana ni kujiuzulu na kumuacha mhusika mkuu abebe mzigo wake mwenyewe.

Gharama ya kutetea uongo ni kuonekana mpumbavu, na gharama ya kutetea uovu, ni kuonekana mkatili.

Prof.yule anaonekana mpumbavu kwasababu ya kutetea uongo,na Job(Boss wa Mjengoni) anaokana katili kwasababu ya kutetea uovu na yote hayo chanzo ni mtu mmoja tu(bwana yule).
 
Anaewaponza asitetewe kinafiki na tukiendelee hivi,basi bwana yule atatuse sana!!

Kinachowashinda hawa mabwana ni kujiuzulu na kumuacha mhusika mkuu abebe mzigo wake mwenyewe.

Gharama ya kutetea uongo ni kuonekana mpumbavu, na gharama ya kutetea uovu, ni kuonekana mkatili.

Prof.yule anaonekana mpumbavu kwasababu ya kutetea uongo,na Job(Boss wa Mjengoni) anaokana katili kwasababu ya kutetea uovu na yote hayo chanzo ni mtu mmoja tu(bwana yule).

You are absolutely right. Huyo Kagasheki anazunguka tu lakini ukweli tatizo ni huyo huyo boss wao. Hao wateule wake wanalinda matumbo yao hivyo wanajitoa ufahamu.
 
Back
Top Bottom