Dr Kafumu To Run For Igunga Parliamentary Seat and decided to use a helicopter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Kafumu To Run For Igunga Parliamentary Seat and decided to use a helicopter

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Aug 30, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mon, Aug 29th, 2011

  [​IMG]

  Dr Dalaly Peter Kafumu  The Central Committee of CCM on Monday nominated Dr Dalaly Peter Kafumu, its candidate for the Parliamentary by-election for Igunga Constituency in Tabora Region.
  Dr Kafumu is the Commissioner of Minerals and won in preferential voting in the constituency by 68 per cent, according to the CCM Ideology and Publicity Secretary, Mr Nape Nnauye.

  He said the party's CC has also decided to use a helicopter during its campaigns in the constituency to catch up with limited time.

  He said former president, Mr Benjamin Mkapa, is expected to kick off campaigns at a date to be announced later. The seat fell following resignation of Mr Rostam Aziz earlier this year.
  Source Tanzania Daily News


  [​IMG]

  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Ikulu jijini Dae-es-salaam Jumatatu hii


  PICHA NA FRED MARO wa IKULU
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Huyu amekuwa "Kafumu" baada ya kuwa "Daktari", au anaitwa Daktari kutokana na jina la "Kafumu"??!! :)
  --
  --
  --
  --
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  CCM wanapokula matapishi yao!!!!!!!!!!! haha ahaha ahaha ahah! Halafu huko Igunga kulikoni yaani Rostam na sasa Mkapa ndiyo anaenda kuzindua kampeni??????????//
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mami,Huyu jamaa kausomea na hilo la Kafumu ni Sir name.Mwisho wa siku KAFUMU maana yake ni Kamganga kadogoo......Ukimwangalia anaonekana mtu na umbo lake na angelitakiwa aitwe MFUMU au kama ni Giant basi aitwe IFUMU.Kwa wasioelewa nini kinaendelea, Kafumu/Mfumu kwa Kinyamwezi/Kisumuma ni Mganga.
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  Helikopta?mbona kawaida tu.Ningeshangaa kama angetumia A 380.
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hiyo bado atachelewa sana maana kutua na kupaa ni kasheshe.Napendekeza watumie Uzoefu wao na wizi wao wanunue hii F-35 jet Figheter.Unaruka na kutua haraka (vertical) na speed yake inatisha.Ngoja nilale mwenzenu. Kesho basi tutaendeleza mjadala. Pasco nakuona Online, usiku mwema :)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  He is the right person kwa wana Igunga! Atashinda kwa kishindo!
   
 8. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Unakumbuka once upon a time walivyombeza Mbowe kwa kutumia helikopta? CCM kwa kuiga tu siwawezi.
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Remains to be seen!
   
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwa kipindi kile hakustahili kutumia Helcopter.
  Kumbuka CDM ilikuwa chama kichanga sana..angetumia hizo fedha za kukodi helcopta kuimarisha chama!
  Bythen pamoja na kutumia Helcopter aliambulia nafasi ya tatu!!
   
 11. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Na leo Chadema wako wapi? Mpaka CCM inawaiga. Mwe!
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  CCM haiwaigi! Chama kinafanya kwa kutumia resources zilizopo kinachoona ni sahihi kutokana na mazingira!
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Wazo la kutumia helikopta si kuiga? Kweli resources wanazo na nyingi wametuibia.
   
 14. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  CCM wamesema yoote lakini sijasikia kuwa Rostam Aziz atarudi toka Mapumzikoni kusaidia Ushindi CCM

  Wabaya wote wa Rostam wamezuiwa kukanyaga Nzenga - yaani sijui Nape Nnauye anajisikiaje? Yeye ataishia Tabora
   
 15. p

  politiki JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Kitendo cha CCM kutumia helikopta kuwafuata wananchi walipo kinaonyesha namna gani jinsi chama hiki kilivyotelekeza miundo mbinu ya barabara ambayo ndio utumika na maelfu ya wananchi. akitua na helikopta kwenye kijiji chochote swali la kwanza wewe huko out of touch na wananchi wa kawaida kwani sisi wananchi wa kawaida tunapita kwenye barabara zilizojaa maadaki na wewe unatembea na helikopta, je unawezaje kuyajua matatizo ya wananchi kama wewe upiti zile njia tunazopita maelfu ya wapiga kura ?? kama wewe ungekuwa na uchungu na jimbo basi ungepita na gari jimbo zima hili uone matatizo wanayoyapa wapiga kura wako ili uyatatue ?? kafumu haishi igunga anakwendaga kutembea tu na safari hii anakuja kutalii juu ya helikopta.
   
 16. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Watumie watumiacho,safari hii nguvu ya umma,ambayo ni sauti ya Mungu itashinda Igunga,ccm hawana chao,watapata aibu kuu,na anguko kuu
   
 17. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  HIYO PICHA SIYO YA DR PETER DALALY KAFUMU BALI NI YA ENG. BASHIR MRINDOKO
  http://www.graduates.com/photos/then/63/2749063_thumb.jpg?409312938
   
 18. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hii Wizara ya Madini ina nini lakini?.......kila kitu na kila mtu ni kuhusu hii wizara
   
 19. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />

  Mnama,
  Nikweli kabisa cdm kilikuwa chama kilikuwa kichanga by then!
  Lakini sasa ni chama kikubwa hadi sasa ccm inabidi iige mambo yake!
   
 20. M

  Mzee wa Usafi JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 634
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Dr Kafumu ni PhD holder kutoka ITC The Netherlands....ni mjiolojia na ndio kamishna wa madini kwa sasa. Ameshawahi kupigania hicho kiti mara mbili na RA (Kura za maoni) . Mpaka sasa ni mwajiriwa wa serikali . Swali, je mtu yeyote angegombea ubunge akiwa ni mwajiriwa wa serikali na akapitia upinzani serikali ya magamba itamwacha kwenye position yake?????.....atakaye jibu anipe na mifano tafadhari
   
Loading...