Dullo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2009
- 251
- 64
Jana katika taarifa ya habari ITV nimemuona Mwigulu akisema eti wamchague Dr. Kafumu kwani kabla hata hajachaguliwa kugombea ubunge Igunga aliwasaidia Shs Milioni 30 kwa ajili ya madawati kwa wananchi wa Igunga, Ninajiuliza huyu mtumishi wa umma kapata wapi milioni 30 za kuwapatia wananchi? Hivi kweli alikuwa na wema gani kwa wananchi hao kama hiyo haikuwa rushwa tu????
Nawasilisha kwa wanaJF
Nawasilisha kwa wanaJF