Dr. Kafumu kutoa Mil 30 kwa ajili ya madawati, Je mtumishi huyu wa umma alipata wapi pesa hizi?

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
Jana katika taarifa ya habari ITV nimemuona Mwigulu akisema eti wamchague Dr. Kafumu kwani kabla hata hajachaguliwa kugombea ubunge Igunga aliwasaidia Shs Milioni 30 kwa ajili ya madawati kwa wananchi wa Igunga, Ninajiuliza huyu mtumishi wa umma kapata wapi milioni 30 za kuwapatia wananchi? Hivi kweli alikuwa na wema gani kwa wananchi hao kama hiyo haikuwa rushwa tu????

Nawasilisha kwa wanaJF
 
Huu ni mchezo wa panya kukungata huku anakupuliza ndo mana wahenga walisema WAJINGA NDIO WALIWAO
 
kumbe ALIWASAIDIAGA. kuna kumbukumbu zozote? Hata kama zipo? Hela hizo alitoa WAPI?
 
Nenda kwenye palace yake kule Pugu Kajiungeni. Utakaa chini. Unacheza na ukamishna wa madini nini!
 
Inawezekana aliomba msaada kwa wadau wa maendeleo kwa ajili ya wilaya au kijiji anachotoka.
 
Jana katika taarifa ya habari ITV nimemuona Mwigulu akisema eti wamchague Dr. Kafumu kwani kabla hata hajachaguliwa kugombea ubunge Igunga aliwasaidia Shs Milioni 30 kwa ajili ya madawati kwa wananchi wa Igunga, Ninajiuliza huyu mtumishi wa umma kapata wapi milioni 30 za kuwapatia wananchi? Hivi kweli alikuwa na wema gani kwa wananchi hao kama hiyo haikuwa rushwa tu????

Nawasilisha kwa wanaJF
yaani achaguliwe kwa ajiri ya 30m? what is 30m by the way? Mwigulu ana wa-rate wana igunga kwa 30m? haya ni matusi makubwa. awaombe radhi wana igunga kabla ya uchaguzi.
 
Jamani tuweekeeni picha ya hiyo palace yake hata geti wengine tukiona tunaweza value kilichopo ndani?
 
Sasa si kaamua kurudisha kidogoooo tu cha kile alichotuibia watanzania! ila sasa anakosea kitu kimoja, kuomba achaguliwe kwa kurudisha kasehemu cha alichoiba. Sasa hao wadau wa maendeleo kawajua baada ya kugombea ubunge jamani? hadi kufikia umri alionao si alikua anajua Igunga wana matatizo, baada ya kuchaguliwa kugombea ndo anajifanya anarudisha alichoiba eeh!
 
Huo ni wizi mtupu'kama kamishna wa madini hana kipato cha kutoa hizo 30M
kama ushahidi upo alitoa hizo pesa hiyo ni Rushwa kwa vile alikuwa akijua kuwa atagombea na Rostam kwenye kura za maoni August 2010,na alifanya hivyo ilia akashindwa.CHADEMA hiyo ni hoja mpeni Kashindye
 
inawezekana aliomba msaada kwa wadau wa maendeleo kwa ajili ya wilaya au kijiji anachotoka.
na huku ndiyo kwao mgombea wa ccm dr. Kafumu, naona rostam alikusahau kabisa huku!!!!!! Hahaha ahahaha ahahaha!!!!!!!

6+vijana+wa+itumba+wakiwa+na++picha+ya+dk.+kafumu+wakti+wakiingia+kwenye+mkutano+uliofanyika+katika+kata+hiyo..jpg

sawabho....karibu tena kama una hoja
 
Straight away hii ni rushwa,and obviously kama mtumishi wa uma ni mwizi.Kwa hiyo amepoteza sifa za kuwa kiongozi.
Jana katika taarifa ya habari ITV nimemuona Mwigulu akisema eti wamchague Dr. Kafumu kwani kabla hata hajachaguliwa kugombea ubunge Igunga aliwasaidia Shs Milioni 30 kwa ajili ya madawati kwa wananchi wa Igunga, Ninajiuliza huyu mtumishi wa umma kapata wapi milioni 30 za kuwapatia wananchi? Hivi kweli alikuwa na wema gani kwa wananchi hao kama hiyo haikuwa rushwa tu????

Nawasilisha kwa wanaJF
 
ccm wote wana mimba tu............wamepigwa hiyo mimba na chadema
 
ukweli chadema wanasafari ndefu, kwa igunga wameula na chua

CCM ni chama kilichochoka ila chadema ni chama (genge) la (cha) wahuni

wazee wa maslahi, wananchi wameshtuka kuwa chadema wabaya kuliko CCM mara nyingi
 
Kusaidia Maendeleo Wala Sio Vibaya, kutoa ni moyo sio utajiri, hivi kamishina wa madini kweli ni ajabu kuwa na 3 0 milion uko ni kuwaza kwa kutumia masaburi.
 
Kusaidia Maendeleo Wala Sio Vibaya, kutoa ni moyo sio utajiri, hivi 1.kamishina wa madini kweli ni ajabu kuwa na 3 0 milion uko ni 2.kuwaza kwa kutumia masaburi.
Hivi kuwa kamishna wa madini ndiko kulikompatia hizo miliono 30?
Kumiliki 30M si kosa, kosa linaweza kuwa vipi zimepatikana.
Nafikiri tungealia mshahara wake badal ya dhamana ya kusimamia mali ya Watanzania.
 
Jana katika taarifa ya habari ITV nimemuona Mwigulu akisema eti wamchague Dr. Kafumu kwani kabla hata hajachaguliwa kugombea ubunge Igunga aliwasaidia Shs Milioni 30 kwa ajili ya madawati kwa wananchi wa Igunga, Ninajiuliza huyu mtumishi wa umma kapata wapi milioni 30 za kuwapatia wananchi? Hivi kweli alikuwa na wema gani kwa wananchi hao kama hiyo haikuwa rushwa tu????

Nawasilisha kwa wanaJF
Hayo sasa ni masimango kwa wanaigunga, kwani kama kawasaidia hela kwa shughuli yoyote ni lazma atangaze/ccm watangaze kama wamewasaidia wananchi???hapo ndipo msaada unapogeuka kuwa rushwa. kama alitoa kwa lengo la kuwasaidia mambo ya kukumbushia wakati wa kampeni yanatoka wapi kwani anadhani wananchi wamesahau kama walipewa hela na Kafumu???Hizo ndo zile siasa uchwara. Okay, So what kama aliwapa???
 
Jana katika taarifa ya habari ITV nimemuona Mwigulu akisema eti wamchague Dr. Kafumu kwani kabla hata hajachaguliwa kugombea ubunge Igunga aliwasaidia Shs Milioni 30 kwa ajili ya madawati kwa wananchi wa Igunga, Ninajiuliza huyu mtumishi wa umma kapata wapi milioni 30 za kuwapatia wananchi? Hivi kweli alikuwa na wema gani kwa wananchi hao kama hiyo haikuwa rushwa tu????

Nawasilisha kwa wanaJF[/QUOTE

Labda tijiulize Rostam na Misaada yote hiyo kwa Wana-Igunga imewasaidiaje kuwapa "sustainable development?" Kama CCM wanateua mtu kwa kigezo hiki ni muhimu wabadilishe strategy. Itakuwa inarudia makosa yale yale na isitafute mtu anayekiangamiza chama. Afterall nashangaa wabunge wanaotaja misaada waliotoa kwa watanzania ; mbona hatusikii matokeo ya uwajibikaji wao majimboni au bungeni? Ni nini basi walichofanya kwenye majimbo yao toka walipochaguliwa? Kama bungeni yenyewe hawana chakuongea, je huko majimboni ambako watu hawawafuatilii inakuwaje? (Tunataka tujue wamewajibikaje kwenye sehemu walizochaguliwa/teuliwa; whether ni kwenye uwaziri, ukuu wa mkoa, ualimu etc (give us your record). Misaada watanzania wengi wanatoa na hawatangazi. Afterall misaada its not part of your "job requirements" however; we thank everyone who gives with good intentions.
 
Back
Top Bottom