Dr. Kafumu kutoa Mil 30 kwa ajili ya madawati, Je mtumishi huyu wa umma alipata wapi pesa hizi?

Jana katika taarifa ya habari ITV nimemuona Mwigulu akisema eti wamchague Dr. Kafumu kwani kabla hata hajachaguliwa kugombea ubunge Igunga aliwasaidia Shs Milioni 30 kwa ajili ya madawati kwa wananchi wa Igunga, Ninajiuliza huyu mtumishi wa umma kapata wapi milioni 30 za kuwapatia wananchi? Hivi kweli alikuwa na wema gani kwa wananchi hao kama hiyo haikuwa rushwa tu????

Nawasilisha kwa wanaJF


Nikodi zetu walizo tufisadi tanzania kote kunaupungufu wa madawati amesaidia wapi kungine kabula hajagombeya hakufahamu upungufu wa madawati kabula ya kugombeya igunga kamahajui hawafai wanaigunga
 
Back
Top Bottom