Dr JPM hongera kwa kuimarisha demokrasia na utawala bora Tanzania

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,897
Rais JPM umeimarisha demokrasia ya kweli kwa vitendo hatimaye keki ya Taifa inawanufaisha wengi hata vijana wenye mitindio ya ubongo wasioelewa mema mazuri unayoyafanya watakuelewa tu

Watanzania wengi wenye akili timamu wamekuelewa sana

Watanzania wengi wanaojituma kufanya nazi wamekuelewa sana
 
Write your reply...sisi wenye akili timamu hatujamuelewa kabisa, ila nadhani wewe sio miongoni mwetu. Demokrasia unayoizungumzia ni IPI? acha utani basi.
 
Jamii Forum ni sehemu ya wote haibagui.... Lakini tupunguze kuifanya kama supika ya praise teams... Itapoteza ladha na heshima yake
 
Wacha kuandika UPUUZI! Dikteta na demokrasi wapi na wapi!? 😳😳😳

Rais JPM umeimarisha demokrasia ya kweli kwa vitendo hatimaye keki ya Taifa inawanufaisha wengi hata vijana wenye mitindio ya ubongo wasioelewa mema mazuri unayoyafanya watakuelewa tu

Watanzania wengi wenye akili timamu wamekuelewa sana

Watanzania wengi wanaojituma kufanya nazi wamekuelewa sana
 
Una taarifa TLisu alipigwa risasi 16 akiwa Hspl akafukuzwa ubunge aliochaguliwa na wananchi.
Wauwaji hawajakamatwa hadi leo unaelewa hilo??
Demokrasia ipi hiyo unaota??
 
Back
Top Bottom