Dr. Joyce Ndelichako (NECTA) alichemka kwa kitendo cha Kumshambulia kijana Julius

We uunge mkono hoja usiunge poa tu! cha msingi msg sent! we unadhani huu mfumo wa elimu uliopo unamuandaa mtoto kujipanga kimaisha!? hakuna kitu zaidi ni mambo ya kimawazo zaidi kuliko vitendo,yeye amepeleka ujumbe hata kama haukutakiwa kuwa pale wakati ule bali umefika.

Ujumbe umefika au haukufika? Kulingana na kijana Julius alitaka ujumbe ufike kwa wahusika,hiyo ndio mantiki ya kufanya alichofanya. Na kwa mtazamo wangu ujumbe umefika kwa wahusika ndio maana hata Dr. Ndalichako aliichukua hyo hyo kama case maalum japo kimtazamo aeza kuwa tofauti na mtazamo wa kijana Julius.Kwa maneno yake(niliisikia hyo interview) ni vema kuwasaili vijana na kujua vipaji vyao na kuziendeleza. Na kuwe na shule maalum za kuendeleza vipaji vyao. Si vema kumng'ang'aniza kijana kusoma masomo 10 ambayo anaona hayamsaidii na hayana mvuto. Kwa mfano Julius ana kipaji na interest na muziki lakn kati ya masomo yoote alokuwa anafanya hakuna somo la muziki ambalo lbda lingemvutia. Aidha ameweza kuonyesha kuwa vijana wengi wanafanya masomo kwa kuwaridhisha wazazi na si kwa interest zao.
 
Back
Top Bottom