Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Ha ha ha sasa si mnahakika kuwa magufuli rais sasa mnamsingizia TB joshua wa nin masikini mtumishi wa mungu hajawahi hata tamka jambo kama hiloo
 
Huu ni unabiii unaotimia: -

Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema

"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".

Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.

My take : UKAWA tulieni mnyolewe.

Ni msiba mkubwa huu wa ulimwengu! Hivi ndugu yangu na wewe ni miongoni mwa wale wanaowaamini hawa wanaojiita manabii? Wapi wameupata au nani kwapa huo unabii kwa sababu Mwenyezi Mungu kutuletea manabii ameshahitimisha tangu karne ya saba?
 
kama hakuweza kuona jengo lake likianguka watu wakafa..
ataona matokeo ya uchaguzi ambao hata watu hawajapiga kura.?
kama anaona si angeona wasichana waliotekwa na boko haramu walipelekwa wapi ....
UNAHITAJI MSAADA WA UTABIRI HAPA ?
 
Attachments

  • 1445598813943.jpg
    1445598813943.jpg
    19.1 KB · Views: 412
Hivi kwa hali ilivyo unahitaji unabii gani zaidi ya kuona kwa macho yako kuwa Lowassa ni rais wa tano wa Tanzania.
 
Huu ni unabiii unaotimia: -

Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema

"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".

Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.

My take : UKAWA tulieni mnyolewe.

Una akili fupi sana wewe jamaa,,,, hata mtoto wako akisoma hii topic yako atakuzalau sana
 
Huyo joshwa ni sahihi kabisa kwa ccm,Mtumishi wa Mungu Tb Joshua ni mtumishi sahihi wa Mungu.
 
You are telling sweet nothings, empty non prophetic destructive words.
Huu ni unabiii unaotimia: -

Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema

"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".

Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.

My take : UKAWA tulieni mnyolewe.
 
Magufuli asipokuwa Rais wa tano wa Tz, nitaacha siasa mwenyewe. Naomba mnihukumu na hii msg kama nitaendelea
kuwa mwanasiasa.

Mandla.
 
Pelekeni upuuzi went mbali kazi kutumia jina la mtu kunufaisha wetu huyu baba hajawai onekanika tangu may, acha kukurupuka,, na wala hakurupuki kama watumishi wanaotumikia tumbo,, tubu uongo wako uloandika hapa
 
Ahsante, tumekuskia mkuu, hebu sasa ngoja ushuhudie jinsi Mungu akikuonesha wewe mbweha kuwa yeye pekee ndie anaejua mambo ya badae na sio hako kaAlly kenu. hebu nipishe kwanza.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom