Sharif
JF-Expert Member
- Mar 13, 2011
- 2,450
- 1,777
Mbona hapo kamtabiri Lowasa, sababu yeye ndio ametoka ndani ya chama kikongwe ambacho ni ccm
you are very geniuos..
Mbona hapo kamtabiri Lowasa, sababu yeye ndio ametoka ndani ya chama kikongwe ambacho ni ccm
Huu ni unabiii unaotimia: -
Akizungumza na wasaidizi wake jana jioni nyumbani kwake Lagos Nigeria, Nabii T. B. Joshwa anasema
"Naiona nchi ya africa mashariki ikipata rais mpya kutoka ndani yha chama kikongwe barani afrika mwaka huu 2015. Lakini atakuwa ni rais atakayekuja kupendwa na watu wa nchi yake, mwenye uwezo mkubwa wa kiutawala na atakaebadilisha maisha ya watu wake".
Kutoka kwa mtu wa karibu na SCON Lagos Nigeria.
My take : UKAWA tulieni mnyolewe.

eee! alinipa wa kupeleka stoo nikamsaidia kubebaKwani we mamako alishawai kukupa mzigo?
mbona hapo kamtabiri lowasa, sababu yeye ndio ametoka ndani ya chama kikongwe ambacho ni ccm
kama hakuweza kuona jengo lake likianguka watu wakafa..
ataona matokeo ya uchaguzi ambao hata watu hawajapiga kura.?
kama anaona si angeona wasichana waliotekwa na boko haramu walipelekwa wapi ....
UNAHITAJI MSAADA WA UTABIRI HAPA ?