emmarokileo90
Member
- Aug 15, 2015
- 27
- 3
Anaesema mwizi wa nyumba cheki hiyo
huo umaskini ulimpa wwMkuu naona umelipwa kiasi kikubwa thread ndefu sana pole mkuu umasikini tabu sana
Hata awe mzuri vipi mfumo wa ccm Hata umlete malaika, akirudi lazima aitwe ibilisi!
Jumlisha na CCM mfumo na philosophy ya ufisadi..sasa magufuli atavyonja msingi ulimshikilia na wadhamini wake.Ni kweli atakuwa mtiifu kwao maana1.Kikwete ni fisadi wa Richmond2.Mkapa mzee wa EPA na anamjua Balali3.Mwinyi hajielewi kabisa na......
Magufuli anaambiw amtiifu kwa watu wachafu,km Mkapa,Mwinyi, na JK ..na chama chake CCM.Kama ni mume na mke basi jk kaisha mweka sawa pombe kama vile mke aliyempa mme limbwata kwamba kila atakachotaka jk basi pombe lazima afanye hata bila yeye kujijua!!!!! Siunajua tena mambo ya limbwata tena la pwani uspime!!! Hapo kwa pombe hakuna rais ila kuna mwakilishi wa jk, mkapa n.k. Tz haihitaji rais wa ndiyo mzee kama pombe alivyo kwa jk, mkapa n.k.Twende na el kama tunataka maendeleo ya kweli.
[h=2][/h]Kuna kila dalili Dr John Pombe Magufuli KUPATA USHINDI WA KISHINDO,hii ikiwa ni kutokana na namna watu wanavyokubaliana na utendaji wake lakini pia namna atakavyokabiliana na mafisadi papa wa nchi yetu.
Wasomi na wanaharakati wengi wamekuwa wakijitokeza hadharani kumpongeza Dr Magufuli kwa mikakati yake mizuri. Hata hivo wapo wanaodai pia kuna uwezekano mapapa hao wakatorokea kusikojulikana mara baada ya Dr MAGUFULI KUAPISHWA RASMI KAMA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
HONGERA SANA DR MAGUFULI.