SI mbaya tukiingia ktk hoja na kuanza pata fikra za watz ktk matamko mbalimbai ya wanasiasa ktk hiki kipindi cha cha kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hii.NIngependa kujua watz wanatafsiri vipi ...MAGUFULI KUITWA MTIIFU NA MNYENYEKEVU NA WATU KM MKAPA,MWINYI,JK,KINANA,WASSIRA, etc?
Wizara alizoziongoza alikuwa nje ya mfumo au..?mbona ameperfom vizr sana...bahati nzur saiz atakuwa juu ya mfumo hivyo Ana nafas kubwa ya kuboresha to the maximum....
MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS
Hilo hata kichaa analifaham, Lowassa huyu hata sijui huyu DJ aliwazanini kuchukua jitu hili du!
Hilo ni jembe ulaya. linaparura kote kote
Hilo ni jembe ulaya. linaparura kote kote
kelele nyingi with no substances ... Magufuli amelifanyia nini Taifa Zaidi ya kuongeza Deni la Taifa kufikia Trillions kadhaa? Barabara zenyewe baada ya miaka miwili Mahandaki matupu!!!
Lowassa pamoja na vurugu zote plus uhujma walizomfannyia ...To date wananchi wanafaidika kwa maji ya mradi wa KASHWASA, UDOM, Shule za Kata ... Lowassa ndo rais wetu sisi Malofa wapumbavu