Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

wanajua kijana atasimamia maslahi yao.hawana wawazalo zaidi yahilo.

mkapa ataka aendelee kulindwa asiulizwe wizi wa kiwira.
na jk asiulizwe mikataba ya gas ya mtwara na richmond ambayo kashindwa kuikanusha.
 
  • Thanks
Reactions: aye
Magufuli ni Manager sio leader .kwa hiyo ni mzuri kwakuwa wata muongoza wakiwa nje kulinda maslahi ya wafaidika wa mfumo ccm.kumbuka kila uliomtaja kumsifia magufuli ana boom la ufisadi limekaliwa kimya na utawala wa ccm.tuanze na Mzee Mwinyi ana Bomu la Pantoni.Mkapa ana kiwira .Kikwete Richmond.Warioba Goldmine company.Magufuli mwenyewe majengo ya serikali.na report ya cag.tena ni kwamba toka tupate Uhuru .mtu wa kwanza kulilagai bunge zima na kuliibia pesa. Ndio huyu tumeletewa tumchague awe raisi wa nchi.
 
SI mbaya tukiingia ktk hoja na kuanza pata fikra za watz ktk matamko mbalimbai ya wanasiasa ktk hiki kipindi cha cha kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hii.NIngependa kujua watz wanatafsiri vipi ...MAGUFULI KUITWA MTIIFU NA MNYENYEKEVU NA WATU KM MKAPA,MWINYI,JK,KINANA,WASSIRA, etc?

Ni kweli atakuwa mtiifu kwao maana
1.Kikwete ni fisadi wa Richmond
2.Mkapa mzee wa EPA na anamjua Balali
3.Mwinyi hajielewi kabisa na......
 
Kama ni mume na mke basi jk kaisha mweka sawa pombe kama vile mke aliyempa mme limbwata kwamba kila atakachotaka jk basi pombe lazima afanye hata bila yeye kujijua!!!!! Siunajua tena mambo ya limbwata tena la pwani uspime!!! Hapo kwa pombe hakuna rais ila kuna mwakilishi wa jk, mkapa n.k. Tz haihitaji rais wa ndiyo mzee kama pombe alivyo kwa jk, mkapa n.k.

Twende na el kama tunataka maendeleo ya kweli.
 
Jk alisema ndio chaguo lake. In maana urais wa magufulu ndio uraisi wake na familia yake
 
Wizara alizoziongoza alikuwa nje ya mfumo au..?mbona ameperfom vizr sana...bahati nzur saiz atakuwa juu ya mfumo hivyo Ana nafas kubwa ya kuboresha to the maximum....
MAGUFULI THE BEST CHOICE OF TANZANIANS


"...bahati nzuri saiz atakuwa juu ya mfumo..." hiyo statement haina mantiki yoyote maana hakuna mtu duniani anayeweza kuwa juu ya mfumo fulani . Mtu anaweza kuwa ndani au nje ya mfumo.

Ukweli ni kwamba Magufuli yupo ndani ya mfumo wa ccm na hata akiwa mwenyekiti wao, bado atakuwa ndani ya mfumo dhaifu wa ccm ambao ulipanda na kulea rushwa, na kushindwa kutatua matatizo ya wakulima, wafugaji, wafanyakazi, wavuvi, na makundi mengine yote nchini.

ccm hawana jipya tangu zamani na hata sasa na milele yote.
 
Hilo hata kichaa analifaham, Lowassa huyu hata sijui huyu DJ aliwazanini kuchukua jitu hili du!
 
kelele nyingi with no substances ... Magufuli amelifanyia nini Taifa Zaidi ya kuongeza Deni la Taifa kufikia Trillions kadhaa? Barabara zenyewe baada ya miaka miwili Mahandaki matupu!!!
Lowassa pamoja na vurugu zote plus uhujma walizomfannyia ...To date wananchi wanafaidika kwa maji ya mradi wa KASHWASA, UDOM, Shule za Kata ... Lowassa ndo rais wetu sisi Malofa wapumbavu
 
kelele nyingi with no substances ... Magufuli amelifanyia nini Taifa Zaidi ya kuongeza Deni la Taifa kufikia Trillions kadhaa? Barabara zenyewe baada ya miaka miwili Mahandaki matupu!!!
Lowassa pamoja na vurugu zote plus uhujma walizomfannyia ...To date wananchi wanafaidika kwa maji ya mradi wa KASHWASA, UDOM, Shule za Kata ... Lowassa ndo rais wetu sisi Malofa wapumbavu

watu wengne bhana!duuh kazi sana,kama huna fact yoyote bora unyamaze kuliko kutoa maneno ovyo kwa panic.mi sikosei wewe ndo wale wale wa pande za kaskazin,mnaumia sana ndugu yenu anapopondwa.ukanda unawatafuna mpaka bas
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom